Si kidogo.
na hata wakiongea uzuzu wao uishie kwenye kumshukuru kwa huduma na uanachama wake toka mwaka 77 na kumtakia safari njema huko aendako.
wakileta mipasho kama wako kwenye ngoma wataharibu...,
jiwe walilolikataa wahashi limekuwa jiwe kuu la pembeni
Ngoja Lowassa awekwe wazi sasa ili ijulikane ubishi uishe maana analalamika sana kaonewa ili mahakama itende haki.
Wazee wa kukanusha labda wataenda kuikanusha habari ya Lowasa kujiunga Chadema. Wana matatizo hawa jamaa! Teh!
ccm wanajua wanachokifanya usizani ni wajinga na kwa taarifa yako lowasa yuko chadema tangu mwaka 2013 wewe ndo unajua leo pole sana,
Nape....kaambiwa Bao la Mkono Mwisho Bafuni..
BTW mwenyekiti wao nasikia anaomba uraia Austraria....
mkuu ccm ni chama kongwe sio walamba matapishi kwa billion 10,wanajua kilichokuwa kinapangwa na chadema na mengi na lowasa ,walimkata wanajua kitakachojiri,wewe tulia uone miamba inavyopasuana ,pesa na dora kipi ni shujaa,
Kwahiyo nikusaidiaje kiumbe wewe..
Pole ya nini unayonipa? Umesikia kuna msiba? Mbona unaingea kanakwamba umezamisha kichwa chako kwenye maji? Ccm inajua inachokifanya, Kipi? kujikaanga kwa mafuta yake yenyewe? Nani kawatuma? Haya Lowassa alikuwa Cdm tangu mwaka 2013... Alichukuaje form ya kugombea Urais kupitia Ccm? Unajua wewe unaongea utafikiri kichwa kilichokatwa kwenye kiwiliwili cha Binadamu... Yaani huna connection Kati ya moyo na Ubongo.. Unaropoka tu bila mpangilio..
Hebu tutokee hapa.....!!!
BACK TANGANYIKA
uraia kwa ajiri ya nini lowasa kisa anapesa mwenzie ana dora unachekesha wewe,
Lowassa amlete Balali tu amalize kazi.
Kwenye website ya ccm wametoa tangazo la kuongea na waandishi kesho.
source;mwananchi online
Safari ya mageuzi ndo imeanza
Ccm hawatakiwi kuwa na kihoro na kuondokewa na masalia. Hotuba ya EL haina mvuto wala hamasa. Katika kujibu maswali ndio bomu kabisa....na kwa udhaifu aliouonyesha namwombea Mungu aweze kumudu mshikemshike wa kampeni za nchi nzima za kujinadi km atapitishwa na ukawa kugombea urais, ili watanzania wajionee wenyewe utimamu na umakini wa huyo jamaa!