CCM kufanya Maandamano makubwa ya kihistoria Songea kesho

Magaidi wa nchi hii wanajulikana watu kama lwakatare na kundi lake hayo ndiyo magaidi ya nchi hii.

Aliyetoa amri

- Mwangosi auwawe, Kamanda kamuhanda yupo kundi gani?

-Walio mteka na kumtesa Ulimboka

1. Mohamedi Msangi , mkuu wa jeshi la polisi Mbeya

2. Ramadhan Ighondu, upelelezi makao makuu

Watesaji na wauwaji wa kila siku
1. Chagonja na utesaji, upigaji watanzania mabomu nk

2. Mwigulu, Lameki Madeluu Nchemba
 
Unajua maudhui ya cuf yalivyokuwa ya hovyo halafu linganisha maudhui ya ccm yalivyoyaamani na kudumisha umoja na mshikamano.

acha umangimeza weka majibu

quote_icon.png
By adolay

Bunduki zilizo ibiwa zimepatikana? maana ndio kikwazo na hizi zilisababisha CUF kuzuiliwa.

Je? kama bado usalama unatoka wapi?
 
richard robert endelea kuota ndoto ya ndaria tu. kwanza hayo sio maandamano ya mwisho kupokelewa na kikwete kwani bado atabaki mwenyekiti mpaka 2017 hivyo bado ana miaka miwili zaidi na pili sisi tuliomba kibali na kuelezea maudhui na madhumuni ya maandamano yetu na mkutano wetu kuwa ni kusherehekea kuzaliwa kwa chama chetu. nanyi mnaweza kuandaa maandamano ya kusherehekea kuzaliwa chama chenu lakini sio kujifanya mnaomboleza vifo. hapo mtakuwa mnapingana na serikali. kama mngeomboleza vifo vya wapemba kule kisiwani pemba hapo mngeeleweka lakini hapa dar es salaam mlikuwa na ajenda ya siri. mlitaka muandamane halafu wale watu mliowapa bunduki wafyatue bunduki zao raia wasio na hatia wafe muwasingizie polisi. kama nia yenu ilikuwa safi mngefanya mkutano wenu tu pale mbagala na sio kuandamana kutoka temeke hadi mbagala. lengo lenu ni kuleta vurugu tu.
t-shirt na kofia tunatoa kama ninyi mnavyotoa kwa wanachama wenu wakati wa mikutano yenu na mafuta ya pikipiki kama ninyi mlikuwa mnawajazia wale waliokuwa wanaongoza maandamano yenu basi nasi tutafanya hivyohivyo lakini kama hamkufanya basi wewe ni muongo mzushi
Utetezi unaoutoa ni wa kiburi kabisa!! Ni kiburi kilichopitiliza! Kisichojali haki wala uhai wa wengine,hata shetani pia anatumia utetezi kama huohuo kuhalalisha uovu wake,ila kiburi chenu ni cha muda mfupi tu.
 
Maandamano ya CCM hayana historia ya umwagaji damu.

Chama gani humwaga damu?

1. CCM kupitia Kamanda Kamuhanda, wakamuuwa Mwangosi hadharani, ushahidi nikupandishwa cheo muuwaji.

2. CCM kupitia Mwigulu nchemba, Arusha mabomu soweto watu wakafa

3. CCM -Usaliver Arusha mwenyekiti chadema kachinjwa na msumeno, na ccm imewaachia wauwaji

4. Utesaji Lwakatare, Mwigule Nchemba, mbona ushahidi wake wa mbinguni na duniani ameufyata?

....

Nitaendelea kuorodhesha ukiendeleza ujinga hapa jukwaani
 
Maandamano ya CCM hayana historia ya umwagaji damu.

Waliovuruga mkutano wa warioba ni CCM. NA TENA WANAOVURUGA MIKUTANO NA MAANDAMANO YA WAPINZANI NI CCM KUPITIA POLISI-CCM.
 
Attachments

  • 1422724408504.jpg
    1422724408504.jpg
    22.7 KB · Views: 173
  • 1422724584083.jpg
    1422724584083.jpg
    5.1 KB · Views: 277
Chama gani humwaga damu?

1. CCM kupitia Kamanda Kamuhanda, wakamuuwa Mwangosi hadharani, ushahidi nikupandishwa cheo muuwaji.

2. CCM kupitia Mwigulu nchemba, Arusha mabomu soweto watu wakafa

3. CCM -Usaliver Arusha mwenyekiti chadema kachinjwa na msumeno, na ccm imewaachia wauwaji

4. Utesaji Lwakatare, Mwigule Nchemba, mbona ushahidi wake wa mbinguni na duniani ameufyata?

....

Nitaendelea kuorodhesha ukiendeleza ujinga hapa jukwaani

Hizi porojo zenu tumeshazizoea hapa jukwaani.

Nani asiyejua kuwa LWAKATARE ni gaidi na video yake akipanga kudhuru raia wema zimo humu?
 
Siku ya jumapili tarehe moja mwezi wa pili kutakuwa na maandamano makubwa ya MWISHO KABISA YA CHAMA CHA MAPINDUZI... mjini Songea na kupokelewa na Mwenyekiti wake Ndugu Jakaya Mrisho KIKWETE.
KIKWETE AMBAYE pia ni rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania aliyebakisha miezi tu kumaliza muda wake atahutubia waandamanaji hao katika uwanja wa maji maji Songea.
CCM ilizaliwa tarehe 5/2/1977 ambayo ni tarehe ya kuzaliwa azimio la Arusha (1967-1992); TANU - (1954 - 1977); ambavyo vyote vilitangulia na kutuacha.
CCM watafanya maandamano hayo Songea bila vikwazo wala vitisho vya polisi na kuyaita "MATEMBEZI YA MSHIKAMANO".. HAWATAPIGWA MABOMU WALA KUZUIWA NA POLISI kama alivyofanyiwa profesa Lipumba na vijana wake. Wala spana kama zilizotumika kumpiga Kambaya wa CUF haxitatumiwa na jeshi la polisi.
Watu weeeeengi watajitokeza kushuhudia safari ya mwisho ya CCM kama chama tawala.
PIKI PIKI ZA VIJANA WOTE ZITAJAZWA MAFUTA NA BENDERA, TSHIRT NA KOFIA WATAPEWA BURE.
WATU WENGINE WATASAFIRISHWA KUTOKA VIJIJINI KWA GHARAMA YA CHAMA NA KUSHIRIKI MAANDAMANO HAYA YA MWISHO KABISA KUFANYWA NA CCM IKIWA MADARAKANI.
Mwaka ujao hakutakuwa na maandamano kwakuwa kitakuwa ni chama cha upinzani dhaifu kuliko hata ACT - TANZANIA kile chama cha RANGIBARIDI.
Nipo SONGEA KUSHUHUDIA SAFARI YA MWISHO YA CCM KABLA YA KUANGUKA HAPO OKTOBA, 2015. KARIBUNI.

Mkuu naomba tutafutane hata mm nimekuja songea tangu jana kwenye sherehe hiyo
 
Chama gani humwaga damu?

1. CCM kupitia Kamanda Kamuhanda, wakamuuwa Mwangosi hadharani, ushahidi nikupandishwa cheo muuwaji.

2. CCM kupitia Mwigulu nchemba, Arusha mabomu soweto watu wakafa

3. CCM -Usaliver Arusha mwenyekiti chadema kachinjwa na msumeno, na ccm imewaachia wauwaji

4. Utesaji Lwakatare, Mwigule Nchemba, mbona ushahidi wake wa mbinguni na duniani ameufyata?

....

Nitaendelea kuorodhesha ukiendeleza ujinga hapa jukwaani

Mkuu zoezi dogo tuu wewe ukiwa na lori ukapakiza abiria ni kosa lakini wao kupeleka watu kwenye mikutano kwao ni dhawabu
 
Mkuu zoezi dogo tuu wewe ukiwa na lori ukapakiza abiria ni kosa lakini wao kupeleka watu kwenye mikutano kwao ni dhawabu

Mkuu hawa CCM ni laana kwa Taifa.

Naiona hatari mbele yao kwa kujimilikisha haki na uhai wa watanzania kinyume na katiba.
 
Polis wameweka akili zao na utaalamu wao mifukoni wame amuwa kutumika na wanasiasa kwa nia hovu dhidi ya raia.
 
Back
Top Bottom