CCM kufa Kibudu kabla ya 2015

spencer

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
3,599
3,220
Watu wa Pwani tutawasaidia kuamua.
Kanda ya ziwa haitarudi nyuma, Kama CDM imefika Simanjiro na Ngorongoro sasa wajificha wapi.
Leo hii diwani mwingine CCM Sengerema kahama na kujiunga CDM kinachofuata ni wabunge wasafi kuhamia chadema.
CCM itakufa kabla ya 2015 believe me!!!!!!!!!!!!
Kesho ngoja Pinda apigwe chini
 
Nami nayakubali maneno yenu.............Tuko pamoja tushirikiane kuitokomeza
 
Watu wa Pwani tutawasaidia kuamua.
Kanda ya ziwa haitarudi nyuma, Kama CDM imefika Simanjiro na Ngorongoro sasa wajificha wapi.
Leo hii diwani mwingine CCM Sengerema kahama na kujiunga CDM kinachofuata ni wabunge wasafi kuhamia chadema.
CCM itakufa kabla ya 2015 believe me!!!!!!!!!!!!
Kesho ngoja Pinda apigwe chini

Mtaruka mtahangaika lakini ukweli ni kwamba LOWASA is the next PRESIDENT wa Tanzania
 
Huku kwetu ccm imekosa wagombea ikalazimisha watu wagombee ambao nao kwa sasa wanajificha hawataki hata kujitokeza.mwaka 2009 CDM haikuwa imejipanga vizuri na matokeo yake ikapata mwenyekiti wa mtaa mmoja tu kati ya 24 pamoja na dr slaa kuibuka kidedea kura za urais,lakini awamu hii cdm itaongoza mamlaka ya mji mdogo.
 
washaanza kukata roho
hizo ni ndoto tu kufikiria kifo cha CCM
subiri matokeo ya leo uambiwe % za nchi nzima
ukishuhudia wanaruka kidedea
walianza NCCR ya Mrema, wakaja CUF ya jino kwa jino, sasa CDM ya saccos ya chagadema

Don'T ConfusE Me If You Can'T ConvicE
Me!! CCM ni kichaka cha WezI Tu
:msela:

Sasa hapa ndio umeandika :msela: nini hata hueleweki :msela:
 
Hatukulazimishi, ila huu ni wa serikali za mitaa,

Hakika tukiingia kwa madiwani ita kuwa msala, Wabunge ndio usiseme hadi magogoni.

Unafaidika na nini na mijitu inayogawana rushwa ya mikataba mibovu af wanalindana??

KWISHNEY
 
Sasa hapa ndio umeandika :msela: nini hata hueleweki :msela:
Hujui uliloliandika bora ungefuatilia toka mwanzo ni nani nimemjibu na hii signature ni ya nani
ndipo ungenielewa
lakini umerukia mkokoteni wa ng'ombe kwa mbele
Don'T ConfusE Me If You Can'T ConvicE Me!! CCM ni kichaka cha WezI Tu :msela:

ujumbe ulioko kwenye signature hii ni mzuri tu na uneleweka sasa wewe unashangaa vikatuni achana navyo soma Ujumbe
 
Back
Top Bottom