CCM kuchele

CCM kuchele

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
359,869
Reaction score
828,403
MIMI NI MTOTO WA KADA WA CCM, KATI YA CCM NA CHADEMA KAMA NIKIAMUA LEO BILA UNAFIKI KUWA NA CHAMA NINAWEZA KUVUTWA ZAIDI KIHISIA NA CCM, ILA HILO HALINIFANYI MJINGA KUUNGANA NA CCM MTANDAO YA SAMIA, KIKWETE, ROSTAM, ANGELA KIZIGA, ABDUL NA KUNDI LA WATEKAJI NA WAUAJI LINALOFANYA MAIGIZO YANAYOITWA KAMPENI NA BAADAE UPUMBAVU WANAOTAKA KUUITA UCHAGUZI MKUU- ASKOFU DICKSON CORNEL KABIGUMILA

1. Najua kwa mfia vyama na si maslahi mapana ya nchi unaweza kusema, "huyu si mwenzetu" au huyu kapandikizwa, au vyovyote vile, lakini endelea na namba 2 hadi mwisho, na utaelewa

2. Baba yangu Coronely Kabigumila alikuwa diwani wa CCM kwa miaka 15 (1995 hadi 2010- Kata ya Nyakakika kabla haijagawanywa kuwa kata mbili za Nyakabanga na Nyakakika)

3. Kama mtoto wa "Mheshimiwa diwani" wa CCM, ni kama ilivyo mambo ya SIMBA NA YANGA, unakuta nyimbo za akina Captain John Komba zile za Harambee, Wapinzani tuwatupe, tuwachane chane tuwatupeee, zile za Wembe ni ule ule ushindi, zile za CCM CCM Chama cha Mapinduzi, CCM namba waniii... Sasa kama baba yako ni kada wa ngazi ya udiwani, na mshiriki wa vikao vya Halmashauri na kamati zake, UNAELEWA UNAKUA NA MAHABA AUTOMATICALLY YA CCM!

4. Lakini muda wote niliokua nakua, baba yangu alikuwa KIONGOZI MWAMINIFU, MWADILIFU, MTUMIKIA WATU, AMBAYE ANGEAMSHWA SAA 8 AU 9 USIKU kwenda umbali wa kilometa 20 au 30 ndani ndani kwa sababu kuna shida ya Wananchi, au tukio baya limetokea! Baba yangu ni DIWANI ambaye aliipinga na kuikataa rushwa, u-boss, matumizi mabaya ya madaraka, kupuuza kilio na sauti ya wanyonge, dhuluma ya mwenye nacho dhidi ya mnyonge, na NIMEONA AKIFANYA KAZI YA UDIWANI YA KUJITOLEA ISIYO NA MSHAHARA WALA MALIPO YOYOTE WAKATI ULE, walau sasa wana mshahara na marupuru! Aina hii ya uongozi, ndiyo NIMEKUA NIKIDHANI NI UELEKEO, NA MFUMO WA MAISHA WA KILA DIWANI, MBUNGE NA RAIS WA CCM! Hivyo yale MAHABA YA UTOTONI kwa CCM yapo yapo, ila si CCM HII YA WAUAJI NA WATEKAJI WALIOICHUKUA MIKONONI MWA WANA CCM WA MOYO NA WAZALENDO!

5. Kwa hiyo, kwangu CCM nilijua ni chama cha watu WENYE MOYO WA NYERERE, yaani watu ambao HAWAJILIMBIKIZII MALI KAMA KIKWETE, SAMIA NA FAMILIA ZAO! Maana ndivyo Nyerere alivyofanya kwa MANENO NA VITENDO! Mimi nilifikiri CCM ni ile ya Nyerere ya KUTOWEKA WATOTO WAKO KWENYE MFUMO WAENDELEE KUILA NCHI, BADALA YAKE KAMA WANA UWEZO WA KIAKILI NA KIUONGOZI, WACHUANE NA WATANZANIA WENZAO NA WAPATE NAFASI ZA KIUONGOZI NA UTAWALA, sio UPUMBAVU HUU WA KIKWETE NI RAIS, SALMA NI MBUNGE ALIYEPITISHWA BILA KUPINGWA, RIDHIWANI NI MBUNGE ALIYEPITISHWA BILA KUPINGWA NA UWAZIRI HOLELA HOLELA JUU! Hii si CCM YA NYERERE, TUAMKE WANA CCM! Hapo hujamuweka SAMIA, WANU BINTI YAKE, MKWE MCHENGERWA, WOTE NDANI YA SERIKALI SI KWA UWEZO BALI NI WATOTO WA MKUBWA! HUU NI UPUMBAVU, HUU NI USHENZI, HAPA CCM YA NYERERE IMEBAGAZWA NA KUBANANGWA!

6. CCM YA NYERERE iliyo kinyume na WIZI, UFISADI NA RUSHWA na ni SERA YAO WAZIWAZI KWENYE MIKUTANO YAO YA KAMPENI, sio hii ya SAMIA, KIKWETE NA GENGE LA WAHUNI ambayo neno RUSHWA, UFISADI, WIZI WA MALI ZA UMMA ni ngumu kulitaja, maana WAO NA WATOTO WAO USHAHIDI NI MWINGI WA UJAMBAZI, WIZI, UFISADI, ULAJI WA MALI ZA UMMA WA KUTISHA, NA MATUMIZI MABAYA YA OFISI ZA UMMA! Kila mwana CCM ambaye AKILI YAKE SI YA KUSHIKIWA, LAZIMA AAMKE, TUKIOKOE CHAMA KWA KUUNGANA NA WATANZANIA OKTOBA 29, ILI BAADA YA HAPO TUIPANGE TENA CCM, NA IUZIKE, NJE YA HAPO, MSIPOTOKA, CCM ITAKUWA IMEKUFA MILELE, NAWASANUA MAPEMA! Kila mwana CCM ambaye ana moyo wa kizalendo kama HUMPHREY POLEPOLE lazima AKUBALI KUUNGANA NA RAIA WALIOCHOKA, HECHE NA CHADEMA, NA KILA MZALENDO WA NCHI, Oktoba 29, TUIRUDISHE NCHI NA CCM YA KWELI TENA MIKONONI MWA WANA CCM WA MOYO! Hakuna KUTIKI WALA HAKUNA KUKAA NDANI, NCHI YETU IMETEKWA, NA CHAMA CHETU CCM KIMETEKWA NA HAWA HAWA WAHUNI WASOMBA WATU KWA MAROLI!

7. CCM niliyokua nikiiamini na kuipa sehemu ya hisia za moyo wangu, ilikuwa CCM INAYOTEGEMEA KUSHINDA BILA WOGA kwa sababu ya MTANDAO IMARA WA CHAMA kuanzia SHINA, MATAWI, KATA, TARAFA, WILAYA, MKOA, KANDA HADI TAIFA! Sio hii CCM ya kulazimisha wafanyakazi wa UMMA wakajaze uwanja kwa vitisho vya kuwafungia mishahara au kuwafukuza na kutumia madaftari ya mahudhurio viwanjani kama silaha ya kuwapata watu! CCM YENYE MTANDAO IMARA, KAMA NILIVYOSEMA HAPO JUU, WATU WALIKUWA WANAJILIPIA NAULI, CHAKULA NA MALAZI KUJA KWENYE KAMPENI ZA MGOMBEA WAO WA URAIS, sio huu UPUUZI WA SASA wa kukusanya watu kwa Shilingi 10,000 kwa kichwa, na maroli ya mchanga na kubebea ng'ombe yakibeba waliopewa rushwa kama vifurushi na mizigo, huku wakipata ajali na vifo na majeruhi wakifichwa kama bangi au madawa ya kulevya! WANA CCM WA KWELI NA MOYO, OKTOBA HATUTIKI, HATUKAI NDANI, TUNAOKOA NCHI YETU, NA KWA NJIA HIYO TUTAKISUKA UPYA CHAMA CHETU, NA KUSHINDANA KWA KUWA WALIOUMIZWA NA CCM HII YA MTANDAO (GENGE LA WAHUNI) MKO WENGI, mtoke TUKOMESHE UHUNI WA KIKWETE NA SAMIA NA FAMILIA ZAO, ONCE AND FOR ALL!

8. Kujitokeza kwenu wana CCM wa moyo na ahadi, na kuungana na UMMA tarehe 29 Oktoba, ndio nafasi ya mwisho ya kukitoa chama mikononi mwa wahuni wanaokibagaza na kukibananga! Ni njia pekee ya kumuenzi Polepole ambaye hatujui kama yuko hai au wana mtandao wameshammaliza! Ni siku ya kumpa ZAWADI YA BIRTHDAY kipenzi cha WANA CCM WA MOYO, Hayati JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI!

Kwa sababu ya kizazi kisichopenda kusoma maandishi marefu nisiendelee sana,
Hitimisho ni kwamba: OKTOBA 29, WANA CCM WA MOYO, HAKUNA KUTIKI, HAMNA KUKAA NYUMBANI, TUNAIOKOA NCHI KWANZA NA KUKICHUKUA CHAMA CHETU MIKONONI MWA SAMIA, KIKWETE NA FAMILIA ZAO,

BADO SIKU 8
OKTOBA 29 TUNATOKA,

Bishop Dickson Cornel Kabigumila
21.10.2025.

1761033305554.jpg
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Ni vigumu sana kujisanikisha na ccm ili ufanye ukumma wako wa kimaandamano..
Hapa hakuna cha askofu wala right rev. Kumma yoyote inayovuruga amani lazima ishughulikiwe!
 
MIMI NI MTOTO WA KADA WA CCM, KATI YA CCM NA CHADEMA KAMA NIKIAMUA LEO BILA UNAFIKI KUWA NA CHAMA NINAWEZA KUVUTWA ZAIDI KIHISIA NA CCM, ILA HILO HALINIFANYI MJINGA KUUNGANA NA CCM MTANDAO YA SAMIA, KIKWETE, ROSTAM, ANGELA KIZIGA, ABDUL NA KUNDI LA WATEKAJI NA WAUAJI LINALOFANYA MAIGIZO YANAYOITWA KAMPENI NA BAADAE UPUMBAVU WANAOTAKA KUUITA UCHAGUZI MKUU- ASKOFU DICKSON CORNEL KABIGUMILA

1. Najua kwa mfia vyama na si maslahi mapana ya nchi unaweza kusema, "huyu si mwenzetu" au huyu kapandikizwa, au vyovyote vile, lakini endelea na namba 2 hadi mwisho, na utaelewa

2. Baba yangu Coronely Kabigumila alikuwa diwani wa CCM kwa miaka 15 (1995 hadi 2010- Kata ya Nyakakika kabla haijagawanywa kuwa kata mbili za Nyakabanga na Nyakakika)

3. Kama mtoto wa "Mheshimiwa diwani" wa CCM, ni kama ilivyo mambo ya SIMBA NA YANGA, unakuta nyimbo za akina Captain John Komba zile za Harambee, Wapinzani tuwatupe, tuwachane chane tuwatupeee, zile za Wembe ni ule ule ushindi, zile za CCM CCM Chama cha Mapinduzi, CCM namba waniii... Sasa kama baba yako ni kada wa ngazi ya udiwani, na mshiriki wa vikao vya Halmashauri na kamati zake, UNAELEWA UNAKUA NA MAHABA AUTOMATICALLY YA CCM!

4. Lakini muda wote niliokua nakua, baba yangu alikuwa KIONGOZI MWAMINIFU, MWADILIFU, MTUMIKIA WATU, AMBAYE ANGEAMSHWA SAA 8 AU 9 USIKU kwenda umbali wa kilometa 20 au 30 ndani ndani kwa sababu kuna shida ya Wananchi, au tukio baya limetokea! Baba yangu ni DIWANI ambaye aliipinga na kuikataa rushwa, u-boss, matumizi mabaya ya madaraka, kupuuza kilio na sauti ya wanyonge, dhuluma ya mwenye nacho dhidi ya mnyonge, na NIMEONA AKIFANYA KAZI YA UDIWANI YA KUJITOLEA ISIYO NA MSHAHARA WALA MALIPO YOYOTE WAKATI ULE, walau sasa wana mshahara na marupuru! Aina hii ya uongozi, ndiyo NIMEKUA NIKIDHANI NI UELEKEO, NA MFUMO WA MAISHA WA KILA DIWANI, MBUNGE NA RAIS WA CCM! Hivyo yale MAHABA YA UTOTONI kwa CCM yapo yapo, ila si CCM HII YA WAUAJI NA WATEKAJI WALIOICHUKUA MIKONONI MWA WANA CCM WA MOYO NA WAZALENDO!

5. Kwa hiyo, kwangu CCM nilijua ni chama cha watu WENYE MOYO WA NYERERE, yaani watu ambao HAWAJILIMBIKIZII MALI KAMA KIKWETE, SAMIA NA FAMILIA ZAO! Maana ndivyo Nyerere alivyofanya kwa MANENO NA VITENDO! Mimi nilifikiri CCM ni ile ya Nyerere ya KUTOWEKA WATOTO WAKO KWENYE MFUMO WAENDELEE KUILA NCHI, BADALA YAKE KAMA WANA UWEZO WA KIAKILI NA KIUONGOZI, WACHUANE NA WATANZANIA WENZAO NA WAPATE NAFASI ZA KIUONGOZI NA UTAWALA, sio UPUMBAVU HUU WA KIKWETE NI RAIS, SALMA NI MBUNGE ALIYEPITISHWA BILA KUPINGWA, RIDHIWANI NI MBUNGE ALIYEPITISHWA BILA KUPINGWA NA UWAZIRI HOLELA HOLELA JUU! Hii si CCM YA NYERERE, TUAMKE WANA CCM! Hapo hujamuweka SAMIA, WANU BINTI YAKE, MKWE MCHENGERWA, WOTE NDANI YA SERIKALI SI KWA UWEZO BALI NI WATOTO WA MKUBWA! HUU NI UPUMBAVU, HUU NI USHENZI, HAPA CCM YA NYERERE IMEBAGAZWA NA KUBANANGWA!

6. CCM YA NYERERE iliyo kinyume na WIZI, UFISADI NA RUSHWA na ni SERA YAO WAZIWAZI KWENYE MIKUTANO YAO YA KAMPENI, sio hii ya SAMIA, KIKWETE NA GENGE LA WAHUNI ambayo neno RUSHWA, UFISADI, WIZI WA MALI ZA UMMA ni ngumu kulitaja, maana WAO NA WATOTO WAO USHAHIDI NI MWINGI WA UJAMBAZI, WIZI, UFISADI, ULAJI WA MALI ZA UMMA WA KUTISHA, NA MATUMIZI MABAYA YA OFISI ZA UMMA! Kila mwana CCM ambaye AKILI YAKE SI YA KUSHIKIWA, LAZIMA AAMKE, TUKIOKOE CHAMA KWA KUUNGANA NA WATANZANIA OKTOBA 29, ILI BAADA YA HAPO TUIPANGE TENA CCM, NA IUZIKE, NJE YA HAPO, MSIPOTOKA, CCM ITAKUWA IMEKUFA MILELE, NAWASANUA MAPEMA! Kila mwana CCM ambaye ana moyo wa kizalendo kama HUMPHREY POLEPOLE lazima AKUBALI KUUNGANA NA RAIA WALIOCHOKA, HECHE NA CHADEMA, NA KILA MZALENDO WA NCHI, Oktoba 29, TUIRUDISHE NCHI NA CCM YA KWELI TENA MIKONONI MWA WANA CCM WA MOYO! Hakuna KUTIKI WALA HAKUNA KUKAA NDANI, NCHI YETU IMETEKWA, NA CHAMA CHETU CCM KIMETEKWA NA HAWA HAWA WAHUNI WASOMBA WATU KWA MAROLI!

7. CCM niliyokua nikiiamini na kuipa sehemu ya hisia za moyo wangu, ilikuwa CCM INAYOTEGEMEA KUSHINDA BILA WOGA kwa sababu ya MTANDAO IMARA WA CHAMA kuanzia SHINA, MATAWI, KATA, TARAFA, WILAYA, MKOA, KANDA HADI TAIFA! Sio hii CCM ya kulazimisha wafanyakazi wa UMMA wakajaze uwanja kwa vitisho vya kuwafungia mishahara au kuwafukuza na kutumia madaftari ya mahudhurio viwanjani kama silaha ya kuwapata watu! CCM YENYE MTANDAO IMARA, KAMA NILIVYOSEMA HAPO JUU, WATU WALIKUWA WANAJILIPIA NAULI, CHAKULA NA MALAZI KUJA KWENYE KAMPENI ZA MGOMBEA WAO WA URAIS, sio huu UPUUZI WA SASA wa kukusanya watu kwa Shilingi 10,000 kwa kichwa, na maroli ya mchanga na kubebea ng'ombe yakibeba waliopewa rushwa kama vifurushi na mizigo, huku wakipata ajali na vifo na majeruhi wakifichwa kama bangi au madawa ya kulevya! WANA CCM WA KWELI NA MOYO, OKTOBA HATUTIKI, HATUKAI NDANI, TUNAOKOA NCHI YETU, NA KWA NJIA HIYO TUTAKISUKA UPYA CHAMA CHETU, NA KUSHINDANA KWA KUWA WALIOUMIZWA NA CCM HII YA MTANDAO (GENGE LA WAHUNI) MKO WENGI, mtoke TUKOMESHE UHUNI WA KIKWETE NA SAMIA NA FAMILIA ZAO, ONCE AND FOR ALL!

8. Kujitokeza kwenu wana CCM wa moyo na ahadi, na kuungana na UMMA tarehe 29 Oktoba, ndio nafasi ya mwisho ya kukitoa chama mikononi mwa wahuni wanaokibagaza na kukibananga! Ni njia pekee ya kumuenzi Polepole ambaye hatujui kama yuko hai au wana mtandao wameshammaliza! Ni siku ya kumpa ZAWADI YA BIRTHDAY kipenzi cha WANA CCM WA MOYO, Hayati JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI!

Kwa sababu ya kizazi kisichopenda kusoma maandishi marefu nisiendelee sana,
Hitimisho ni kwamba: OKTOBA 29, WANA CCM WA MOYO, HAKUNA KUTIKI, HAMNA KUKAA NYUMBANI, TUNAIOKOA NCHI KWANZA NA KUKICHUKUA CHAMA CHETU MIKONONI MWA SAMIA, KIKWETE NA FAMILIA ZAO,

BADO SIKU 8
OKTOBA 29 TUNATOKA,

Bishop Dickson Cornel Kabigumila
21.10.2025.

View attachment 3491366
Kweli kumekucha
 
Ni vigumu sana kujisanikisha na ccm ili ufanye ukumma wako wa kimaandamano..
Hapa hakuna cha askofu wala right rev. Kumma yoyote inayovuruga amani lazima ishughulikiwe!
Braza nenda taratibu......hii ni dunia.

Naheshimu mawazo yako lakini inapendeza sisi viongozi tutoe maneno ya staha tunapoelezea jambo.

Asante nakutakia kazi njema.
 
Back
Top Bottom