CCM kubomoka kwa waliopendekezwa leo

CCM kubomoka kwa waliopendekezwa leo

saidi kindole

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2012
Posts
311
Reaction score
796
Ukiangalia majina yaliopendekezwa leo ya watakaogombea nafasi mbalimbali za uongozi wa chama inaelekea kutakuwa na wimbi kubwa la watakaokihama chama cha CCM na kukimbilia upinzani.

Na hii itatokana na wanachama wengi kukosa nafasi za uongozi kutokana na kushindwa katika uchaguzi huo, pamoja na umati mkubwa ambao umepunguzwa kwa mujibu wa katiba ya CCM ya sasa iliyopunguza idadi ya wajumbe wa halmashauri kuu na Kamati Kuu.

Hivyo wote watakaokosa nafasi watakakuwa ni kama majini yaliotoka ndani ya chupa na kuzagaa mitaani.

Tusubiri muda utazungumza
 
Wacha wazikane, CHADEMA msi[pokee tena misukule, walioingia wanatosha ..anzeni kurudisha imani kwa wapenda mageuzi maana 2020 si mbali.
 
Back
Top Bottom