Ccm kubomoka kabla ya 2015 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ccm kubomoka kabla ya 2015

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by andrews, May 29, 2012.

 1. a

  andrews JF-Expert Member

  #1
  May 29, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hiyo Nguvu ni humu JF na Arusha tu.  HATA WATU WOTE WAKIONDOKA CCM NIKABAKI PEKE YANGU CCM ITASHINDA NA ITAONGOZA TANZANIA 2015(NAPE)URAISI UPINGWE MAHAKAMANI KWENYE KATIBA MPYA(KIKWETECCM ISIPOACHA MAKUNDI ITAKUFA KABISA CHADEMA HAWANA HATA BAISKELI LAKINI KIMEENEA KAHAMA YOTE(MAIGE)SASA 2015 CCM ISHINDE KWA MTAJI UPI:israel:
   
Loading...