CCM kubalini tu Lowassa kawashika kubaya

CCM kubalini tu Lowassa kawashika kubaya

Wakuu salama
Kwa hali inavyo onekana ccm wamebanwa kwenye kona hawajui pa kupumulia,ni muda sasa tokea mazingaombwe yaanze kupambana na lowassa na lowassa mwenyew ameonyesha kujiamini kupita kiasi
Kitendo cha ccm kumtumia Mtikila kumponda lowassa hii dalili tosha kabsa kwamba ccm wamezidiwa mpaka wameamuwa kutumia upinzani hii dalili ya ccm kufa kifo kisichotegemewa,ngoja tuone vumbi likitimka dodoma
Kwani huyu Lowassa siyo CCM?.

Kwani huyu Lowassa anapambana na CCM, kwa maana nyingine, anapambana na wanachama wote wa CCM?

Mimi sikufahamu kama Lowassa anapambana na CCM!
 
huh....weweeeeeee unakumbuka kilichomtokea yule professeri wa ud nje ya nyumba yake aliporudi tu toka huko majuu na kusema alionana na huyo jamaa na wakapiga sana story

Hakuna kutishana mpaka kielewe hakuna mwenye hati miliki na ikulu
 
watakaomkata itabidi tujue maadili yao kwa sababu hakuna wa kumnyooshea mwingine kidole
 
Wakati mwingine siyo lazima uchangie kila uzi humu,wakati mwingine unaweza tu ukamsaidia mkeo kuosha vyombo

jiandae kipochi chenu ndo mwisho mumetamba sana na visent vyenu vya wizi.
 
Fisadi mamvi amewashika pabaya mafisadi wenzake ngoja tuone kama atamleta Balali
 
kesho ndo mwisho wa habar ya Lowasa ndani ya watangaza nia...
Lowasa akipita ntatembea uchi mjini
 
Tm.ntwara inadili na wehuu naanza kutoiheshimuu tenaaa loh salaleewii
 
watakaomkata itabidi tujue maadili yao kwa sababu hakuna wa kumnyooshea mwingine kidole

tatizo sio kuwa anakawa kwa fitina ni vigezo tu
1 wanasema hatutaki makundi yeye ndo hata ameziba masikio
2, hakuna kutoa rushwa yeye yumo
3, heshimu viongozi wako,yeye anaona takata gani hizi
4, usiwatishie wanaccm yeye waondoke tu walinikuta ccm,
5, usifanye kampaini kabla haujaewa ilan yeye sielewi nafanya
ungekuwa wewe kiongozi wa chama mtu kama huyo ungemfanyaje,na wite wenye makundi sio membe au nani kwishine,msitete ujinga na wengine ni wasomi wa vyuo aina gani ya kiongozi huyo?

 
Hivi huyo mtu bado yupo? Akakojoe akalale maana kwenye siasa za TZ kama mfu tu chama gani anachokisimamia kipo kwenye vyoo vya soko la Karume kama anataka umaarufu ni bora akalale barabarani ili kusababisha foleni kuliko kugeuka toilet paper ya wehu
 
Back
Top Bottom