GE2025 CCM kuanza kurudisha majina matatu ya wagombea kwa wajumbe

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,436
Reaction score
5,230
Mchujo wa majina ya wagombea wa nafasi za udiwani, ubunge na uwakilishi kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) unaendelea kote nchini.

Taarifa zinaeleza kuwa huenda majina matatu ya wagombea yakaanza kurejeshwa kuanzia kesho, kufuatia kukamilika kwa kazi ya kuyapitia na kujadili sifa za kila mgombea.

Baada ya hatua hiyo, wagombea hao watapigiwa kura za maoni na wajumbe wa chama katika maeneo yao, ikiwa ni sehemu ya mchakato wa uteuzi wa mwisho kuelekea uchaguzi mkuu ujao.

Muda wa upinzani kuficha kete zake, kuna watu wakikatwa wakienda upinzani wanakubalika sana
 
Mchujo wa majina ya wagombea wa nafasi za udiwani, ubunge na uwakilishi kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) unaendelea kote nchini.

Taarifa zinaeleza kuwa huenda majina matatu ya wagombea yakaanza kurejeshwa kuanzia kesho, kufuatia kukamilika kwa kazi ya kuyapitia na kujadili sifa za kila mgombea.

Baada ya hatua hiyo, wagombea hao watapigiwa kura za maoni na wajumbe wa chama katika maeneo yao, ikiwa ni sehemu ya mchakato wa uteuzi wa mwisho kuelekea uchaguzi mkuu ujao.

Kesho kuna mabadiliko
 
Back
Top Bottom