Asante mkuu kwa busara na hekima ya kuona mbele, nahisi ujumbe wako ameshaupataNdugu wana jamvi leo nalazimika kutoa rai kwa rais wangu mh. Dk. J Kikwete atuepushe na vita au fujo za kudumu pindi chama chake cha mapinduzi kitakapo ondolewa madarakani kwa ridhaa ya watanzania 2015. Natumia busara sana kumuomba jk kwani sina shaka na upande wa dk. W Slaa hasa ukizingatia kuwa amekuwa mpenda amani siku zote na alishawahi kutamka kuwa "sitaki kuingia ikulu huku damu ya watanzania ikiwa imemwagika". Katika hili nina imani kabisa na mh. Kikwete kwamba nae hatataka kuona anakuwa chanzo cha kuwagawa watz na kuzua machafuko. Nakumbuka kauli yake ya kuanza upya si ujinga wakati wa mnyukano wa urais 2005, ningependa kauli yake hii iwaongoze wana CCM wote ili wakijenge chama chetu (CCM) upya. Najua wapambe wa jk hawatataka kukubaliana na hali halisi itakayojitokeza bali kwa Kikwete kukubali japo hatakuwa mgombea nahisi itatuondolea vita kati yetu wenyewe hasa ikizingatiwa kuwa atakuwa bado ni mwenyekiti wa ccm
Si lazima uchangie bali unaweza kutuma salaam hizi kwa mh rais kwa namna utayoona inafaa.
CHONDE CHONDE KUANZA UPYA SI UJINGA.
Ndugu wana jamvi leo nalazimika kutoa rai kwa rais wangu mh. Dk. J Kikwete atuepushe na vita au fujo za kudumu pindi chama chake cha mapinduzi kitakapo ondolewa madarakani kwa ridhaa ya watanzania 2015. Natumia busara sana kumuomba jk kwani sina shaka na upande wa dk. W Slaa hasa ukizingatia kuwa amekuwa mpenda amani siku zote na alishawahi kutamka kuwa "sitaki kuingia ikulu huku damu ya watanzania ikiwa imemwagika". Katika hili nina imani kabisa na mh. Kikwete kwamba nae hatataka kuona anakuwa chanzo cha kuwagawa watz na kuzua machafuko. Nakumbuka kauli yake ya kuanza upya si ujinga wakati wa mnyukano wa urais 2005, ningependa kauli yake hii iwaongoze wana CCM wote ili wakijenge chama chetu (CCM) upya. Najua wapambe wa jk hawatataka kukubaliana na hali halisi itakayojitokeza bali kwa Kikwete kukubali japo hatakuwa mgombea nahisi itatuondolea vita kati yetu wenyewe hasa ikizingatiwa kuwa atakuwa bado ni mwenyekiti wa ccm
Si lazima uchangie bali unaweza kutuma salaam hizi kwa mh rais kwa namna utayoona inafaa.
CHONDE CHONDE KUANZA UPYA SI UJINGA.
ndugu wana jamvi leo nalazimika kutoa rai kwa rais wangu mh. Dk. J kikwete atuepushe na vita au fujo za kudumu pindi chama chake cha mapinduzi kitakapo ondolewa madarakani kwa ridhaa ya watanzania 2015. Natumia busara sana kumuomba jk kwani sina shaka na upande wa dk. W slaa hasa ukizingatia kuwa amekuwa mpenda amani siku zote na alishawahi kutamka kuwa "sitaki kuingia ikulu huku damu ya watanzania ikiwa imemwagika". Katika hili nina imani kabisa na mh. Kikwete kwamba nae hatataka kuona anakuwa chanzo cha kuwagawa watz na kuzua machafuko. Nakumbuka kauli yake ya kuanza upya si ujinga wakati wa mnyukano wa urais 2005, ningependa kauli yake hii iwaongoze wana ccm wote ili wakijenge chama chetu (ccm) upya. Najua wapambe wa jk hawatataka kukubaliana na hali halisi itakayojitokeza bali kwa kikwete kukubali japo hatakuwa mgombea nahisi itatuondolea vita kati yetu wenyewe hasa ikizingatiwa kuwa atakuwa bado ni mwenyekiti wa ccm
si lazima uchangie bali unaweza kutuma salaam hizi kwa mh rais kwa namna utayoona inafaa.
Chonde chonde kuanza upya si ujinga.
Ndugu wana jamvi leo nalazimika kutoa rai kwa rais wangu mh. Dk. J Kikwete atuepushe na vita au fujo za kudumu pindi chama chake cha mapinduzi kitakapo ondolewa madarakani kwa ridhaa ya watanzania 2015. Natumia busara sana kumuomba jk kwani sina shaka na upande wa dk. W Slaa hasa ukizingatia kuwa amekuwa mpenda amani siku zote na alishawahi kutamka kuwa "sitaki kuingia ikulu huku damu ya watanzania ikiwa imemwagika". Katika hili nina imani kabisa na mh. Kikwete kwamba nae hatataka kuona anakuwa chanzo cha kuwagawa watz na kuzua machafuko. Nakumbuka kauli yake ya kuanza upya si ujinga wakati wa mnyukano wa urais 2005, ningependa kauli yake hii iwaongoze wana CCM wote ili wakijenge chama chetu (CCM) upya. Najua wapambe wa jk hawatataka kukubaliana na hali halisi itakayojitokeza bali kwa Kikwete kukubali japo hatakuwa mgombea nahisi itatuondolea vita kati yetu wenyewe hasa ikizingatiwa kuwa atakuwa bado ni mwenyekiti wa ccm
Si lazima uchangie bali unaweza kutuma salaam hizi kwa mh rais kwa namna utayoona inafaa.
CHONDE CHONDE KUANZA UPYA SI UJINGA.
Mbinguni vipi Mkuu... Kama marais wa nchi hizo wangekubaliana na maoni ya wananchi, vita isingewafika. Huoni kama amani ya nchi iko mikononi mwa watawala hawa?Hakuna kitu ulichoandika hapa.Tangu lini amani ya nchi ikawa mikononi mwa rais?Wananchi ndo wenye maamuzi kama wanataka nchi yao iwe na amani au la.Yaliyotokea Tunisia, misri, na sasa siria ni mwalimu tosha.Acha kujikomba.Kama huna ajira nenda kalime.
napingana na wewe kwa vitu viwili, kwanza amani ipo mikononi mwako na si kwa rais. pili, ni ndoto za mchana kufikiria slaa ana amani ya yeyote yule. waulize wale machalii pale arusha walioona wenzao wanakufa na wao wakipata majeraha kwa kumshabikia slaa. familia za wafiwa zinataabika sasa. tia akili kichwani mwako. acha kukariri.Ndugu wana jamvi leo nalazimika kutoa rai kwa rais wangu mh. Dk. J Kikwete atuepushe na vita au fujo za kudumu pindi chama chake cha mapinduzi kitakapo ondolewa madarakani kwa ridhaa ya watanzania 2015. Natumia busara sana kumuomba jk kwani sina shaka na upande wa dk. W Slaa hasa ukizingatia kuwa amekuwa mpenda amani siku zote na alishawahi kutamka kuwa "sitaki kuingia ikulu huku damu ya watanzania ikiwa imemwagika". Katika hili nina imani kabisa na mh. Kikwete kwamba nae hatataka kuona anakuwa chanzo cha kuwagawa watz na kuzua machafuko. Nakumbuka kauli yake ya kuanza upya si ujinga wakati wa mnyukano wa urais 2005, ningependa kauli yake hii iwaongoze wana CCM wote ili wakijenge chama chetu (CCM) upya. Najua wapambe wa jk hawatataka kukubaliana na hali halisi itakayojitokeza bali kwa Kikwete kukubali japo hatakuwa mgombea nahisi itatuondolea vita kati yetu wenyewe hasa ikizingatiwa kuwa atakuwa bado ni mwenyekiti wa ccm
Si lazima uchangie bali unaweza kutuma salaam hizi kwa mh rais kwa namna utayoona inafaa.
CHONDE CHONDE KUANZA UPYA SI UJINGA.
Yaelekea uelewa wako ni vinyu kwa taarifa yako mauaji ya Arusha yalifanywa na dola kwa kutii amri za kipuuzi.napingana na wewe kwa vitu viwili, kwanza amani ipo mikononi mwako na si kwa rais. pili, ni ndoto za mchana kufikiria slaa ana amani ya yeyote yule. waulize wale machalii pale arusha walioona wenzao wanakufa na wao wakipata majeraha kwa kumshabikia slaa. familia za wafiwa zinataabika sasa. tia akili kichwani mwako. acha mkukariri.
Mwigulu tazama Mtwara wananchi walivyo choka na CCM.2015 ndio mwishoHakika wewe ni mbumbumbu, hujui usemalo. Nakujibu hivi: Iwapo UNIP ya Kaunda (Zambia), KANU ya Kenyatta/Moi (Kenya), UPC ya Obote (Uganda), kile cha Nkrumah (Ghana), UPRONA cha Rwagasore/Micombero (Burundi) na kile cha Habyarimana(Rwanda) vilirudi kutawala, basi na CCM nayo inaweza ikarudi kutawala. Ni kitu kisichowezekana kutokana na siasa za Kiafrika. Vyama vinapoondoka madarakani huwa vinatokomea nyikani.