Mbelwa Germano
JF-Expert Member
- May 7, 2011
- 789
- 293
Hakika wewe ni mbumbumbu, hujui usemalo. Nakujibu hivi: Iwapo UNIP ya Kaunda (Zambia), KANU ya Kenyatta/Moi (Kenya), UPC ya Obote (Uganda), kile cha Nkrumah (Ghana), UPRONA cha Rwagasore/Micombero (Burundi) na kile cha Habyarimana(Rwanda) vilirudi kutawala, basi na CCM nayo inaweza ikarudi kutawala. Ni kitu kisichowezekana kutokana na siasa za Kiafrika. Vyama vinapoondoka madarakani huwa vinatokomea nyikani.
Ccm ni taasisi, hakuna siku itakufa labda siku vyama vya siasa vikifutwa na nchi kutawaliwa kijeshi na mwana ccm. Ngo na vyama vya kufa na kuzikana kama chadema ndivyo vitakufa
Hakika wewe ni mbumbumbu, hujui usemalo. Nakujibu hivi: Iwapo UNIP ya Kaunda (Zambia), KANU ya Kenyatta/Moi (Kenya), UPC ya Obote (Uganda), kile cha Nkrumah (Ghana), UPRONA cha Rwagasore/Micombero (Burundi) na kile cha Habyarimana(Rwanda) vilirudi kutawala, basi na CCM nayo inaweza ikarudi kutawala. Ni kitu kisichowezekana kutokana na siasa za Kiafrika. Vyama vinapoondoka madarakani huwa vinatokomea nyikani.
Hakika wewe ni mbumbumbu, hujui usemalo. Nakujibu hivi: Iwapo UNIP ya Kaunda (Zambia), KANU ya Kenyatta/Moi (Kenya), UPC ya Obote (Uganda), kile cha Nkrumah (Ghana), UPRONA cha Rwagasore/Micombero (Burundi) na kile cha Habyarimana(Rwanda) vilirudi kutawala, basi na CCM nayo inaweza ikarudi kutawala. Ni kitu kisichowezekana kutokana na siasa za Kiafrika. Vyama vinapoondoka madarakani huwa vinatokomea nyikani.
Umewaweza hao magambas kwa mifano hai kabisa. mimi nawachallenji wataje hata chama kimoja hapa barani Afrika kilichoondolewa madarakani na baadaye kikarudi kushika dola -- kwa njia ya kura. Qakitaje ni chama gani. Vyama vya wezi huwa havirudi.
Kwa logic hiyo hiyo, akina Wassira wanasema CDM itakufa. Wao pia wanatoa ushahidi wao wakitumia mifano ya NCCR. Ila ukweli unabaki pale pale, CCM haiwezi kujiua yenyewe inahitaji chama madhubuti kuiua na kwa mwendo wa migogoro inayoibuka kila uchwao sioni CCM ikifa ila CDM.
ndio wewe mh mbunge?au hiyo comment haifanani na nyadhifa ulizo nazo,macho yamefunikwa na ukungu na tongotongo nzito mheshimiwaCcm ni taasisi, hakuna siku itakufa labda siku vyama vya siasa vikifutwa na nchi kutawaliwa kijeshi na mwana ccm. Ngo na vyama vya kufa na kuzikana kama chadema ndivyo vitakufa
Kwa logic hiyo hiyo, akina Wassira wanasema CDM itakufa. Wao pia wanatoa ushahidi wao wakitumia mifano ya NCCR. Ila ukweli unabaki pale pale, CCM haiwezi kujiua yenyewe inahitaji chama madhubuti kuiua na kwa mwendo wa migogoro inayoibuka kila uchwao sioni CCM ikifa ila CDM.
Nchema unaudhi sana, unadiriki kusema chadema ni chama cha kufa na kuzikana? Kwa hoja zako inaonyesha elimu ya Tz imeshuka sana, kama wewe una first class una argue hivyo, sijui wenye pass wata argue vipi. Huna hoja una argue kama mtu wa mtaani, eti wewe ndie naibu katibu mkuu, kama viongozi ndio nyie sioni kwanini ccm isifeCcm ni taasisi, hakuna siku itakufa labda siku vyama vya siasa vikifutwa na nchi kutawaliwa kijeshi na mwana ccm. Ngo na vyama vya kufa na kuzikana kama chadema ndivyo vitakufa
Kuna watu mnaota. Mbona chadema haina mgogoro? Kumfukuza mamluki tena ambaye hana effect yeyote kwenye chama unasema ni mgohoro?Kwa logic hiyo hiyo, akina Wassira wanasema CDM itakufa. Wao pia wanatoa ushahidi wao wakitumia mifano ya NCCR. Ila ukweli unabaki pale pale, CCM haiwezi kujiua yenyewe inahitaji chama madhubuti kuiua na kwa mwendo wa migogoro inayoibuka kila uchwao sioni CCM ikifa ila CDM.
Mkuu mabadiliko ni kama mafuriko,kamwe hayawezi kuzuiwa na binadamu!
Wacha porojo: NCCR ilinunuliwa na CCM kwani huoni kiongozi wake aliyeitetemesha CCM sasa anamkampenia JK? Siyo kila chama kinaweza kununuliwa na CCM, mark my words. Mobutu wa Zaire alikuwa anawanunua viongozi wengi wa vyama, na vingine alikuwa anavianzisha mwenyewe. Kiko wapi chama chake sasa?
Bado haujamjibu mtoa mada kwa kutaja chama kilichokuwa madarakani, kikaondolewa na baadaye kikarudi madarakani.