CCM Kisonge Zanzibar wanyosheana vidole

CCM Kisonge Zanzibar wanyosheana vidole

ntahamia zenji huku bala manyoya mengi
 
HABAR NJEMA WAZANZIBARI...............
MUDA WOWOTE KUANZIA SASA MAALIM SEIF SHARRIF HAMAD ANATANGAZWA KUWA RAIS WA ZANZIBAR KAMATI KUU YA CCM IMESHAKUBALI DK SHEIN AMESHAKUBALI KUSAIN JAPO KWA MSHIKE MSHIKE CHINI YA USIMAMIZI MKUBWA WA UMOJA WA MATAIFA HIVYO MUDA WOWOTE MAMBO YANAAZA KUWA MAMBO ZNZ HATIMAYE WAZANZIBARI TUNAANZA KUUONA UHURU......Hizi habar ni za uhakika asilimia mia moja...

Mmhu, we na wee. Mi sina nguvu hapa. Na iwe kweli haya usemayo.
 
HABAR NJEMA WAZANZIBARI...............
MUDA WOWOTE KUANZIA SASA MAALIM SEIF SHARRIF HAMAD ANATANGAZWA KUWA RAIS WA ZANZIBAR KAMATI KUU YA CCM IMESHAKUBALI DK SHEIN AMESHAKUBALI KUSAIN JAPO KWA MSHIKE MSHIKE CHINI YA USIMAMIZI MKUBWA WA UMOJA WA MATAIFA HIVYO MUDA WOWOTE MAMBO YANAAZA KUWA MAMBO ZNZ HATIMAYE WAZANZIBARI TUNAANZA KUUONA UHURU......Hizi habar ni za uhakika asilimia mia moja...
PONGEZI sana Wazanzibar…sisi huku bado tunapigania
 
dah natamani niamie zenj maana naona next Singapore chini ya CUF zanzibar maana tanganyika elimu tu ya bure mpaka chuo tumekataa cjuh fani yetu ni nn
?
 
Mpe nchi maalif seif sie wa bara tumwage mboga! Ukomboz wa bara unatokea visiwani hakika
 
Jamani Maalim Hemed nikioa huko kwenu si mtanigawia na kiwanja kabisa? Ila sitabadili dini yangu!!
 
HABAR NJEMA WAZANZIBARI...............
MUDA WOWOTE KUANZIA SASA MAALIM SEIF SHARRIF HAMAD ANATANGAZWA KUWA RAIS WA ZANZIBAR KAMATI KUU YA CCM IMESHAKUBALI DK SHEIN AMESHAKUBALI KUSAIN JAPO KWA MSHIKE MSHIKE CHINI YA USIMAMIZI MKUBWA WA UMOJA WA MATAIFA HIVYO MUDA WOWOTE MAMBO YANAAZA KUWA MAMBO ZNZ HATIMAYE WAZANZIBARI TUNAANZA KUUONA UHURU......Hizi habar ni za uhakika asilimia mia moja...

Umeme umesharudi?
 
Hahahaaaa Kisonge napafahamu sana (miaka minane siko Zenj) ukiwa unatoka Darajani wapo mkono wa kulia!! Wachumia tumbo na masofa yao nje muda wote kuandaa makundi ya vijana kuwapiga wafuasi wa CUF.
 
Ndugu zangu Wazanzibar nina cheti cha kuzaliwa Zanzibar, taratibu za kupata cheti cha uraia wa huko kiko vipi maana huku bara watu maboya kibao.
 
Uraia mtanzania, uzanzibar nenda kwa sheha kachukue barua, nenda nayo office ya utowaji vipande vya uzanzibar, inategemea mkowa upi unatoka
 
Nilizaliwa maeneo ya Ubago Dunga
 
HABAR NJEMA WAZANZIBARI...............
MUDA WOWOTE KUANZIA SASA MAALIM SEIF SHARRIF HAMAD ANATANGAZWA KUWA RAIS WA ZANZIBAR KAMATI KUU YA CCM IMESHAKUBALI DK SHEIN AMESHAKUBALI KUSAIN JAPO KWA MSHIKE MSHIKE CHINI YA USIMAMIZI MKUBWA WA UMOJA WA MATAIFA HIVYO MUDA WOWOTE MAMBO YANAAZA KUWA MAMBO ZNZ HATIMAYE WAZANZIBARI TUNAANZA KUUONA UHURU......Hizi habar ni za uhakika asilimia mia moja...

....safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Hahahaaaa Kisonge napafahamu sana (miaka minane siko Zenj) ukiwa unatoka Darajani wapo mkono wa kulia!! Wachumia tumbo na masofa yao nje muda wote kuandaa makundi ya vijana kuwapiga wafuasi wa CUF.

Mkuu umefanya watu wanione kama fyatu kwa jinsi ulivyo nivunja mbavu
 
Back
Top Bottom