CCM kidedea tena

unaweza ukawa una akili ya maiti
 
Mbona ulinyamza tuli mulivyolizwa momba na geita ha ha ofisi za CCM ngapi nchi nzima zimejaa buibui its good now that you understand that your main competitor is chadema ndio tuitaka hali ifikie hapo CCM kuingia kihoro wakisikia chadema
 
Ccm inaugua ugonjwa kansa ya damu..
Kupona haiwezekani
 
Ccm kushinda ni kawaida yake cdm mtaisubiru sana mwakani mtakuwa na hali mbaya sana yetu machiooo
 
Anayekishabikia hiki chama(chadema) sidhani kama ana akili timamu.Mtu na baba mkwe wake ndo mitume watu maajabu kweli yapo Chadema

Sio kwamba anayeshabikia CCM ndio punguani, urais umekuwa cheo cha familia au ndio ukipenda chongo linakugeuka kengeza? hembu tafakari kidogo juu ya ushindi wa kimbunga 80% mwaka 2005 na anguko la kimbunga 61% za kuiba mwaka 2010,tafakari itakuwaje 2015....chama kilicholeta uhuru leo kinashangilia kwa mikogo ushindi wa 52%.
 
Nilipoona ni Tandale one tu , nilijua ulichoandika hata bila kusoma ! Sijui kwa nini ? sasa Tundu Lissu ameingiaje kwenye hii Thread yako ya Matokeo ya uchaguzi ?

samahani lakini....
ivi Nahum na Nape wanatofauti? alafu Nahum alishayakana matokeo yake ya 4m 4...
ndo maana nimesema samahini
 
Yaani mmetoka 98% na kufikia 52%? Kweli kifo cha CCM hakina dawa tena.

Mkuu na walivyo wajinga na wapumbavu, wanajipongeza...yale yale ya uchaguzi wa madiwani mwaka jana, eti wamepoteza viti vitatu kwa CHADEMA, bado wanajipongeza kwamba wamefanya vizuri...!!! Akili za watu wa ccm sijui zikoje? Yaani bora hata teja anaweza kukupa ushauri siyo mtu anayeshabikia chama cha KIJANI na NJANO...HOVYOOOO KABISAAAA!!!!
 

baelezee bana
 
Post ya kipumbavu kabisa kuwahi kuletwa na kiongozi mkubwa kama wewe.

Bila haya mnaanza kusherehekea ushindi wa kijiji tena ambacho asilimia ya watu 48% wamewakataa.Hii siyo CCM niijuayo!
 
Anayekishabikia hiki chama(chadema) sidhani kama ana akili timamu.Mtu na baba mkwe wake ndo mitume watu maajabu kweli yapo Chadema

Mitume ni yule wa kwenu anaebong'oa watu wakimsema mnapigana,mnampigania mtu ambae kafa
 

kwa hali hii ccm inaelekea kuzikwa.kwa ccm niliyo kuwa ninaifamu ya enzi za zidum fikra sahihi za mwenyekiti wa ccm kwa nafasi kama hizo ccm ilikuwa inapita bila kupingwa au ikipata mpinzani mpinzani alikuwa anapata kura kama 2 hivi moja yake mwenyewe na nyingine ya mke wake.kama ccm wamefikia hatua ya kushangilia ushindi wa asilimia 52 dhidi ya asilimia 48 za mpinzani kutoka ushindi wa kupita bila kupingwa.badala ya kusikitika na kujiuliza ni kwanini hali imekuwa hivyo wao wanashangilia basi ccm wamesha kuwa marehemu kinachosubiriwa ni mazishi tu.
 
Msingi wa hoja hii ni kuwa CCM imeendelea kuimarika na kuna kila kiashiria kuwa CHADEMA imeendela kufa kila kukicha. Lazima kama chadema inataka kuwa chama tawala ijipange hasa kwa maeneo ya vijijini ambako wapiga kura wengi wanapatikana. Ni mtazamo tu...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…