CCM katika ndimi mbili na kutapatapa

CCM bila dola kimeshakufa....na dola wanapata kwa Sababu ya udhaifu wa kikatiba
 
ina mahana hukuelewa kuwa ccm ndo iloelekeza polisi kutoa katazo lile?
 
CCM KINAISHI KWA KUBEBWABEBWA TU
siioni ccm nje ya dola, narudia tena, nje ya ya dola ccm ni dhaifu mno pengine kuliko hatahao wapinzani. hawawezi kufanya siasa bila msaada wa dola.
 
Inaelekezwa kubaya. Hata mataifa mengine yalianza hivi na mwishowe leo siyo mahali salama pa kuishi.
 
siioni ccm nje ya dola, narudia tena, nje ya ya dola ccm ni dhaifu mno pengine kuliko hatahao wapinzani. hawawezi kufanya siasa bila msaada wa dola.
Unahuwakika unachokiongea kua wapinzania hawawezi kufanya siasa
 
Kinywa changu nakijua mwenyewe, nikikifungua hapa nitapotea jf.
 
Kuna kipindi watu walipewa mamlaka na wenye mamlaka wakajiona wao ndo wenye mamlaka sasa wenye mamlaka wakaitaji mamlaka yao ndo kama Libya, misri ilivyokua Tunisia sasa DRC congo na Tanzania itafika kipindi tutawanyanganya
 
Unahuwakika unachokiongea kua wapinzania hawawezi kufanya siasa
mkuu naona hatukuelewana, nilimaanisha kuwa ccm isiyo saidiwa na dola ni dhaifu kuliko hata upinzani (upinzani hausaidiwi na dola kufanya siasa zao hivyo tata ccm ikiwekwa kwenye mazingira ya kutosaidiwa na dola itaonekana dhaifu tena zaidi)
 
Nimekupata mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…