CCM ni kama nyangumi, wapinzani ni kama dagaa

Jeho

JF-Expert Member
Jul 2, 2011
5,053
5,504
Katika maeneo yaliyo na maji, mfano bahari na ziwa, kuna samaki wakubwa na samaki wadogo(dagaa), na samaki wakubwa siku zote huwaonea samaki wadogo kwa vitendo vya kuwameza. Kwa hiyo visamaki vidogo havina haki mbele ya samaki wakubwa.

Hali hiyo ni sawa na ile inayotumiwa na chama makini cha CCM kwa maana CCM kama samaki mkubwa humeza vile visamaki vidogo(vyama vya upinzani). Kila samaki mdogo anapoonekana kuelekea kuwa samaki mkubwa, samaki mkubwa anamuwahi kwa kummeza.

Na ndiyo maana hata miaka 10,000 ipite hakuna chama cha upinzani kitakachochukua dola.
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.
CCM OYEEEEEEEEEEE.
 
katika maeneo yaliyo na maji, mfano bahari na ziwa, kuna samaki wakubwa na samaki wadogo(dagaa), na samaki wakubwa siku zote huwaonea samaki wadogo kwa vitendo vya kuwameza. Kwa hiyo visamaki vidogo havina haki mbele ya samaki wakubwa. Hali hiyo ni sawa na ile inayotumiwa na chama makini cha ccm kwa maana ccm kama samaki mkubwa humeza vile visamaki vidogo(vyama vya upinzani). Kila samaki mdogo anapoonekana kuelekea kuwa samaki mkubwa, samaki mkubwa anamuwahi kwa kummeza. Na ndiyo maana hata miaka 10,000 ipite hakuna chama cha upinzani kitakachochukua dola.
Kidumu chama cha mapinduzi.
Ccm oyeeeeeeeeeee.

kule pwani wanasema kaogeeeeeeee!
 
Umekaa weee na kufikiriii weee ndio na unakuja kinamna hii, huna inshu.....! njaa inakusumbua.
 
Du kwel ccm bado inatisha kumbe wana jf wanaikubal,kwan leo ndio unakua wapinzan ni vikundi vdgovdgo ambavyo lazima vife
 
Hujui ulinenalo labda kuwafananisha ccm na nyangumi ni ktk nyanja za kifisadi na kurudisha maisha ya mtz mmoja mmoja na kubinafsisha rasilimali zetu bali sio nyanja za siasa na mambo ya maendeleo kwani ktk hizi nyanja wao ndo watakuwa dagaa na upinzani nyangumi
 
Wapinzani wanavuma kwa miaka michache tu zeni wanatoweka, yaani maisha ya vyama vya upinzani ni kama maisha ya mshumaa.
 
Hujui ulinenalo labda kuwafananisha ccm na nyangumi ni ktk nyanja za kifisadi na kurudisha maisha ya mtz mmoja mmoja na kubinafsisha rasilimali zetu bali sio nyanja za siasa na mambo ya maendeleo kwani ktk hizi nyanja wao ndo watakuwa dagaa na upinzani nyangumi

CCM imeleta maendeleo makubwa sana. Au unadhani hadi wakuletee pesa nyumbani kwako ndo utajua kama CCM ni chama kinachowajali wananchi?
 
Your days are numbered! Ipo siku kitaeleweka! Tutawafanya kama gadafi!
 
Daaa mtoto wa fidadi katumwa kuja kuchafua hali ya hewa...ha ha ha dogo kamwbie baba mambo ya jana sio ya leo....hatudanganyiki ng'ooooo....lazima tutachukua nchi 2015 ata kwa kujitoa muhanga...najua kinachowapa ccm kiburi ni pesa mlizo tuibia..bt tukichkua nchi zitarudi tuuu....dogo usitegemee utamrithi baba..watu wamesha fumguka sasa.
 
katika maeneo yaliyo na maji, mfano bahari na ziwa, kuna samaki wakubwa na samaki wadogo(dagaa), na samaki wakubwa siku zote huwaonea samaki wadogo kwa vitendo vya kuwameza. Kwa hiyo visamaki vidogo havina haki mbele ya samaki wakubwa. Hali hiyo ni sawa na ile inayotumiwa na chama makini cha ccm kwa maana ccm kama samaki mkubwa humeza vile visamaki vidogo(vyama vya upinzani). Kila samaki mdogo anapoonekana kuelekea kuwa samaki mkubwa, samaki mkubwa anamuwahi kwa kummeza. Na ndiyo maana hata miaka 10,000 ipite hakuna chama cha upinzani kitakachochukua dola.
Kidumu chama cha mapinduzi.
Ccm oyeeeeeeeeeee.

kweli hii inatupa jibu kuwa mna panga matokeo.....ila ki ukwel mbali na ushabiki wananchi hawawakubali kabisa mimi nikiwa mmoja wapo.....kama huamin kwenye uchaguz ujao,mkauze mafanikio yenu ya miaka hamsini kavukavu bila kutoa pilau,kanga,gongo,tshirt.nec,...ki ukwel mtaangukia pua vibaya
 
Daaa mtoto wa fidadi katumwa kuja kuchafua hali ya hewa...ha ha ha dogo kamwbie baba mambo ya jana sio ya leo....hatudanganyiki ng'ooooo....lazima tutachukua nchi 2015 ata kwa kujitoa muhanga...najua kinachowapa ccm kiburi ni pesa mlizo tuibia..bt tukichkua nchi zitarudi tuuu....dogo usitegemee utamrithi baba..watu wamesha fumguka sasa.
Hivi wewe juha unaakili kweli, unataka kuniambia kila mtu aliyepo jf unafahamu umri waje. Jiheshimu uheshimike, mimi sio dogo, dogo ni babako.
 
hivi wewe juha unaakili kweli, unataka kuniambia kila mtu aliyepo jf unafahamu umri waje. Jiheshimu uheshimike, mimi sio dogo, dogo ni babako.
ha ha ha acha jazba we mtoto tena sio mtoto ni katoto sababu utashindwaje kuwa mtoto kwa upupu kama huu uliotuma??? Tena inaonesha hata shule hujaenda wewe umejifunza tu computer pale zoom ndo ukapata kaujuzi ka internet rudi shule kwanza ili uende na wakati kwani inaonesha ni mtoto kimwili na hata akili huna.
 
Kweli wewe hamnazo, na nitaonekana mjinga kujibu ujinga wa mjinga kama wewe.
 
Back
Top Bottom