CCM Kama noma iwe noma, AIBU IEPUKWE Mtwara!

unamaliza form 4
arafu unakwenda kusoma
english course
kwa miez 3 kweli
inawezekana?

T2015CDM
 
Bwana wewe tumigaili,ccm yako peleka kwenu!NGAPINGA

  • :lock1::bange::bange::bange::israel::israel::israel:


  • :lock1:
    • :lock1:
      • :violin:

      • :violin:


    • :lock1:


 

Nafarijika kusikia kuwa watu wa kusini wameigeuka CCM! asante MAFILILI kwa kutambua hilo.
Ila tambua kuwa watu wa kusini wamechoka kutumiwa na ccm kama condom.

CHADEMA kama chama chenye nia na dhamira njema kwa watanzania wataendelea kuwaelimisha watanzania wote popote walipo, siyo Mtwara na Lindi peke yake, bali hata beyond our border!
 
Mama angu ni mmwera pure na nilimwambia aende mkutano wa ulofanyika Ndanda na aliatendi na amesema frm now yy ni muumini mzuri wa CDM.baki na CCM yako nneyo ngapinga ng'o
 
Persistance!Persistance!Persistance!
Go CDM go!

Wameanza kupagawa.waliban maandamano sasa ni M4C,Wakiban M4C mnaibuka na strategy nyingine yenye maudhui hayahaya....destination 2015,never lose focus!
 
Kwa iyo unashauri wana-ccm wa mtwara wafanye nini?? Na kwa nini wafanye ivyo??

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 

Huyu Mafili si yuko kwenye payroll ya Nape kama vile Ritz na Rejao. Hawa hawana kazi nyingine mbali ya kushinda JF wakivizia post zinazoisema CCM na serikali yake ili wajaribu kupoza makali.

Waliishakuja wengi hapa lakini waliishia kuachia ngazi, Mafili naye si mbali atachoka. Hivi siku hizi Faiza Foxy yuko wapi?

Tiba
 
mmechelewa mtaji wenu {ujinga] tumeufilisi mtakoma mwaka huu. Mlitegemea wananchi waendelee kuwa wajinga ili mtawale milele sasa elimu ya uraia umeenea mtaji wenu nini? au hamna mbadala?
Wamebakiwa na mtaji wa Udini ambao nao unaelekea kuwa na masharti magumu hata kwao wenyewe.
 
Usiwe na hofu kijana, hao Mtwara wanaeda kutazama show za bure. Ukweli ni kwenye kura, na bado muda wake.

Ucjipe moyo Zomba kwani cdm hawana ni kuwapa raia elimu tu na kuelezea jinsi magamba wamavyotuibia. kwa hapo unafikiria kwenye kura atachaguliwa nani?
 

Uugh!Mungu amlaze mahala pema huko aliko sisi tulimchukia bali mungu akampenda tu!.
 
Ucjipe moyo Zomba kwani cdm hawana ni kuwapa raia elimu tu na kuelezea jinsi magamba wamavyotuibia. kwa hapo unafikiria kwenye kura atachaguliwa nani?

Kwi kwi kwi teh teh teh, mnawaambia lakini kuwa mbowe amechukuwa fedha za NSSF na bado hajazirudusha?

Na pia mnawaambia kuwa Mbowe kawauzia chadema mafuso used kwa million 350?

Na pia mnawaambia huko kusini kuwa yaya wa hawara yake katibu mkuu analipiwa na chama fedha za walipa kodi zaidi ya laki mbili kwa siku kama per diem na hoteli?

Ikiwa mnawaambia na hayo basi mimi ntahamia chadema, lakini kama hayo hamuwaambii mnakuwa hamuwatendei haki.
 
Kama mwanaume umefika jandoni, huwezi kurudi nyuma na kuangalia matatizo ya ccm, wana wa kusini ni wakati mvuri wa sasa kubadilika na kusonga mbele kwani ni fursa peke kwa sasa.
Swali moja tu ya kujiuliza, je hao wawakilishi wachache kutoka pande hizo ni kipi cha kujivunia wamefanya? Angalia shida ya maji kule Newala, angalia tatizo la ajira pale mtwara bila kusahau shida ya wakulima wa korosho pale Tandahimba, mbali ya wahache walioandamwa kwa kuuliza maswali viongozi wao.
Ukweli chichiemu ni chazo cha matatizo hayo.
Unga mkono chadema.

M4C, T2015CDM
 

Mkuu Mafilili pole sana. mimi ni mkaaji wa Mtwara.
hao wabunge uliowataja hawapendwi hata kidogo na wananchi labda Bwanausi kidogo. Kasembe alimtoa kafara mwanae kulamba ubunge na kafara ishaishiwa nguvu hamna anayemzimia.
Mkapa alishapigwa chini na Bw. Dua (mwenyekiti wa halmashauri nayumbu), Mkuchika na Mkapa (Ben) ndo walifosi kingi ili apite kwenye kura za maoni lakini upepo ulikuwa ushaelekea Kibra.

Ghasia na Murji ndo usiseme. walikosa wapinzani wenye nguvu huku Mtwara.
Njwayo story yake imejaa humu JF, hata tandahimba huwa akanyagi. watamkata kichwa wale wamakonde hawataki ujinga

Mkuchika newala wanamuona kama makapi ni vile hawakuwa na chaguo mbadala.

ujue CCM kusini haina nguvu tatizo hata hao CUF waliokuwepo wamepotea baada ya ndoa ya Zenji.

Kusini haina mwenyewe sasa na CCM walishaichoka. Mpinzani mwenye nguvu anaibeba nzima nzima.

hatuombei, ila ukitokea uchaguzi mdogo wowote kati ya hao uliowataja utaona CCM inavyoumbuka huku
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…