CCM kama mnajali makada wenu huu ndio muda

CCM kama mnajali makada wenu huu ndio muda

Travelogue_tz

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2010
Posts
855
Reaction score
1,224
Makada 3 wa chama cha mapinduzi ambao walifungua kesi ya kupinga ubunge wa lema, na hata baada ya lema kushinda rufaa yake makada hao waaminifu walikata tena rufaa wanakabiliwa na kibarua kigumu cha kulipa gharama za kesi.

Kwa mujibu wa vyanzo vya habari takribani milioni 300 zinapaswa kulipwa. Ni wazi kuwa itakuwa ni jambo gumu kwa makada hawa ambao walitumwa na wakakubali kutumika.

Ni vema sasa CCM kuwalipia fedha hizo ili kuwanusuru na lindi la umasikini.
 
Shauri lao! Waachwe ili iwe fundisho kwa wengine wanaojifanya ccm ni baba na mama yao!
 
Kwani wasipolipa watafanywa nini? kumbuka hao ni makada wa chama tawala
 
Hii .ni fundisho kwa Watanzania wote kuwa hakuna haki popote,kesi ya Rufaa ilikuwa Batili kumsikiliza lema akikataa majaji na kwenda kubadilisha nyaraka .za rufaa yake mwezi mzima na Rufaa ya wakata Rufaa siku moja tu tena masaa?Hapa hata kipofu anaona na kiziwi anasikia,Sasa kama alivyosema kuwa mungu ndiye atamtoa na siyo CCM .ni Majaji wa serikali ndiyo wameamua kumpa ushindi lkn asifikiri kashinda,Vya bure vina mambo yake pia.Mtu yeyote akiwa na kesi bora amalize mwenyewe kuwa Hadi utawala wa kibabe utakapoingia Madarakani 2015.Hongera CDM,Mmewafundisha Viongozi wamelala,Angalisho makamanda mkishika nchi msikubali kupangiwa na ndugu zenu kupitisha maamuzi magumu yasiyofaa.
 
Kwani condom ikishatumika mara 1, je unaweza kuirudia tena?...
 
Back
Top Bottom