ccm kama ilivyokuwa nccr na tlp

ibange

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
1,543
550
tulizoea kuwaona wakati ule nccr na tlp wakiwa na migogoro.walikuwa manabishana kutumia vyombo vya habari. leo migogoro imehamia ccm. nimecheka hapa naangalia tbc uvccm huko tabora wanabishana. kundi moja linasema walifanya kikao kilichomvua ulezi sitta wengine akiwemo katibu wa mkoa ambaye ni mjumbe wa baraza kuu anasema hakualikwa. kweli ccm imedorora,
 
Hiyo ni trailer, picha kamili bado kwani hatujajua mwenye nyumba amesimama upande upi!
 
Back
Top Bottom