CCM Jimbo la Rufiji washindi wawili

CCM Jimbo la Rufiji washindi wawili

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
58,047
Reaction score
134,343
Chama kinanuka hiki,huko Rufiji wagombea wawili wote wanatamba kushinda,hii ni kutokana na mamlaka kutaja mshindi zaidi ya mmoja katika mda tofauti.Kila mtu anakomaa kushinda.Mwingine kwa nguvu ya pesa na mwingine kwa nguvu ya wananchi
 
Watu wajionee wenyewe, yaani kila mahali ccm wameoza. Ccm is being driven by two organs, that is mahakama na majeshi. Hiyo ndo imebaki mtetezi wake, huku kwa wananchi hakuna imani tena
 
....pelekeni kadi za chadema mkavune wafausi hapo...
 
Naskia 'sisi em' wanavurugana ivi kwakua uongozi wa juu umevurugwa pia...hawaelewani katika ngazi ya ki taifa...kwaio huku chini hakuna usimamizi wala uratibu...

Kiufupi: kila mtu anaetaka jimbo kaachiwa afanye anavyoweza.
 
waziri wa afya kama kaangukia pua si akubali tu yaishe !
 
Mimi zuberi Athumani
mwaka huu nikiongoza familia yenye wapiga kura 40 nimewakalisha chini nikawaeleza hali halisi #
Tumekubaliana Na familia yangu kuueleza ukoo wetu tuipigie kura ukawa kisha kila mmoja atafute wapiga kura 10 ili kuonyesha hatujaridhika Na uamuzi wa watu kuja Na majina yao mfukoni#

Charity begin at home.

Tuna Imani Na Edward.
 
Kibaya zaidi viongozi wa juu wa CCM wako busy kununua viongozi wa UKAWA kwa mabilioni ya pesa wkt chama kinakufa.
 
CCM ni wababaishaji hivyo ni jukumu la kila mpiga kura kuwaadhibu kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu, kwa ngazi zote urais, ubunge, na udiwani
 
Mimi zuberi Athumani
mwaka huu nikiongoza familia yenye wapiga kura 40 nimewakalisha chini nikawaeleza hali halisi #
Tumekubaliana Na familia yangu kuueleza ukoo wetu tuipigie kura ukawa kisha kila mmoja atafute wapiga kura 10 ili kuonyesha hatujaridhika Na uamuzi wa watu kuja Na majina yao mfukoni#

Charity begin at home.

Tuna Imani Na Edward.

Hii imekaa vizuri inatakiwa iwe kampeni ya nchi nzima kwa wanaojitambua
 
Mimi zuberi Athumani
mwaka huu nikiongoza familia yenye wapiga kura 40 nimewakalisha chini nikawaeleza hali halisi #
Tumekubaliana Na familia yangu kuueleza ukoo wetu tuipigie kura ukawa kisha kila mmoja atafute wapiga kura 10 ili kuonyesha hatujaridhika Na uamuzi wa watu kuja Na majina yao mfukoni#

Charity begin at home.

Tuna Imani Na Edward.

Kwa hiyo wasingekuja na majina ya mfukoni kusingekuwa na tatizo.
Hii Vita ya Ukombozi Tanzania ina mauzauza kweli.
Kama umeukosa Udiwani, kalime tu. Hata nayo kazi.
 
Safi hilo wazo nzuri sana lkn tatizo lipo kwa wanawake hawajitambui hata kidogo na ndiyo ccm wanawategemea kwenye chaguzi nyingi labda kama mwaka huu wamebadirika kutovaa madela yao ccm
 
Tatizo wakimaliziana kufanyiana uchafu wenyewe kwa wenyewe wanaungana kuja kufanya uchafu wao kwenye uchaguzi mkuu.
 
Back
Top Bottom