BEHAVIORAL ENGINEER
Senior Member
- Nov 26, 2014
- 108
- 51
mwenye macho haambiwi tazama!.
...watu...matukio...
mitazamo..na falisafa hubadilika kulingana na mahitaji ya wakati....lakini pia hata injili ya agano la kale si sawa na agano jipya!!!
ukiona majembe ya CCM yanabadilishwa kuwa mapowertiller ya UKAWA usishangae...badili mtazamo...Mwanamama Maya Angelou aliwahi kusema..."kama hukipendi kitu kibadilishe,kama huwezi badili mtazamo....if you don't like something change it,if you can't change it...change your attitude"
acheni ndoto ya watanzania wapenda mabadiliko itimie.....
Tangu uhuru chama tawala ni CCM....rushwa...CCM....Uchumi tegemezi...CCM...ujinga...CCM...maradhi...CCM....umaskini....CCM....ushirikina...CCM.....magoli ya mkono kwenye mpira wa miguu...CCM.....ubadhilifu na ufisadi woooote ni mazao ya utawala dhalimu wa chama cha mapinduzi...kila kitu wamepindua..elimu..kilimo...ardhi...masoko...viwanda...maadili...hakika october 25 mwaka huu ni wapumbavu pekeee watakubali kuzama... viva UKAWA viva...Lowassa!!!