CCM itashindwa vibaya Uchaguzi Mkuu 2015

CCM itashindwa vibaya Uchaguzi Mkuu 2015

tajirijasiri

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
2,863
Reaction score
3,854
"Upinzani wa kweli utatoka CCM" Nyerere.
"Watu wanataka mabadiliko, wasipoyapata ndani ya CCM, watayatafuta nje ya CCM" Nyerere.
Ni ukweli usiopingika kwamba mwaka 2015 ni mwaka alioutabiri baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Mtake msitake mtadondoka.
Escrow itawatafuna na muhusika ni Mwenyekiti wenu, Richmond Kinara ni Mwenyekiti wenu japo mlimtoa kafara EL.
 
Una uhakika na kinena unacho?. Huyo mnaemtegemea lowasa ni mnafki tu na tamaa ya madaraka ndo ilomjaa. Alikuwa anaipinga katiba iliyokuwa inatetewa na Ukawa afu leo eti ndo anakuja ili aitetee hiyo katiba, huoni ni unafiki huo??! Hebu jieleweni basi nyie watu japo hata kwa akili ya kitoto.
 
Wanafiki ni wale wanaoahidi maisha bora kisha wakaleta bora maisha. Watoto ni wale wanaowagawia watoto pipi badala ya kuwapatia elimu na huduma bora za afya. Wanafiki ni wale wanaokumbatia ufisadi wa Escrow wenye ushahidi na kuwakata wenzao kisha wao wakabaki na kujiita wasafi.....
 
Una uhakika na kinena unacho?. Huyo mnaemtegemea lowasa ni mnafki tu na tamaa ya madaraka ndo ilomjaa. Alikuwa anaipinga katiba iliyokuwa inatetewa na Ukawa afu leo eti ndo anakuja ili aitetee hiyo katiba, huoni ni unafiki huo??! Hebu jieleweni basi nyie watu japo hata kwa akili ya kitoto.

kwani nini kinachoshindikana?binadamu hubadilika. kilichofanya apige kura ya ndio ni kuheshimu matakwa ya chama chake na sio dhamiri yake.
 
hekaya za goli la mkono za nape...! ni dalili za kushindwa.

mabadiliko yanahitajika kukomboa nchi kutoka kwa mafisadi.
 
mleta maada umejichambia mgomba afu mavi yakabaki!!! maisha bora? ulitaka uletewe mamilioni ndani umelala kwako? kajipangeni ccm haing'oki
 
Una uhakika na kinena unacho?. Huyo mnaemtegemea lowasa ni mnafki tu na tamaa ya madaraka ndo ilomjaa. Alikuwa anaipinga katiba iliyokuwa inatetewa na Ukawa afu leo eti ndo anakuja ili aitetee hiyo katiba, huoni ni unafiki huo??! Hebu jieleweni basi nyie watu japo hata kwa akili ya kitoto.

niulize tu ungekua mchungaji alafu akaja mtu aliyekua mwislamu na akaomba kubatizwa utamkataa kisa alikua akiipinga biblia au utamkumbatia na kumpa toba?? au kama wewe ni kiongozi wa kiislam akaja mkristo akataka kubadili dini utampiga mateke???
 
mleta maada umejichambia mgomba afu mavi yakabaki!!! maisha bora? ulitaka uletewe mamilioni ndani umelala kwako? kajipangeni ccm haing'oki
Akili zako nu choo kila mtu anakunya tena kile cha public, hamna ndorobo kama wewe ila umebaki mmoja tu! Nitachagua UKAWA maana Ccm ulichonifanyia sijakiona, siwezi lazwa chini hospital dawa hamna! Wewe ukatibiwe marekani!! Mtoto wangu asome amekaa chini hata uji wa Dona hamna! Wewe wa kwako asome Australia tena kwa pesa uliotuibia! RIP Ccm, vilaza wameisha!

Viwanda vyote vyetu vyote vimefungwa ambapo vinasababisha ugumu wa maisha kwa vijana, Leo uniambie ccm ambayo haijali mwananchi wake nitakuelewa!!!
 
Nenda tu CCM, jambazi uliotukuka:

Ulikuta dolla inauzwa Tzs.650, leo hii inxauzwa Tzs.2200...nenda tu CCM!

-Ulikuta sarafu kibao, Tsh.5, 10, 20, leo hii hazipo tena..nenda tu CCM!

-Ulikuta nauli nalipa Tsh.250, leo hii nalipa 450...Nenda tu CCM!!

-Ulikuta pipi kali namumunya kwa Tsh.10 kila ki1, leo hii Tsh.300...nenda tu CCM!!

-Ulikuta soda nakunywa Tsh.300 leo hii
Tsh.600, hata mgeni hanunuliwi soda nenda tu CCM!!

-Wakati unakuja kitumbua kilikuwa Tsh.20 tu, leo hii Tsh.200,cnywi chai tena nikashiba...nenda tu ccm!

-Ulikuta sukari Tsh.400 tu, leo hii Tsh.2000..nenda tu CCM!

-Ulikuta fungu la nyanya Tsh.100 tu, leo hii Tsh.500-1000..nenda tu CCM!

Ulikuta bia Tsh.800 leo hii
Tsh.2500 nenda tu ccm.!!

-Ulikuta sigara Tsh.50 leo hii
Tsh.200

-Ulikuta mchele Tsh.800 leo hii Tsh.1800..nenda tu CCM kalazwe kwa shetani

-Naona wengi wanakitaka kiti chako ila kwa kuwa nimeshagongwa na nyoka nikiona rangi ya kijani nashtuka....!!!

Nenda tu CCM tuachie nchi yetu
 
Hamjui kuwa nchi hii ilikuwa na viwanda kibao na vyoote vimeuzwa au kufa na vingine kugeuzwa maghala na serikali ya mafisadi hapa nchini (ccm)

UDA Imeuzwa

UFI imeuzwa

Tanganyika packers imekufa

Urafiki imekufa

Zzk mbeya imekufa

ATC imekufa

NBC imeuzwa

Mashine tools moshi imekufa

General tyre arusha imekufa

Mwatex imekufa

Sungura textile. Imekufa

Mutex imekufa

Bora imekufa

NMC imeuzwa

Tanita imeuzwa

Tazara inakufa

TRC ilikaribia kufa na sasa inasota na scandal ya mabehewa mabovu

Kibo match imekufa

yaani nakuchukia CCM maana hauna tofauti na shetani, kwanza mtu akisema ukweli mnamuuwa! umewafunga mashekhe wangu bila kosa! Unapindisha sheria na haki za wanyonge, wewe ni mwizi na unafuga wezi wenzio
 
ccm kushinndwa ni ndoto za mchana

Basi mwaka huu kama hujawahi kuota ndoto ya mchana utaota tu maana hamna namna nyingine sasa tumeshachoka! Hata likiwekwa jiwe tutalipigia kura ili mradi ccm iondoke period!
 
mleta maada umejichambia mgomba afu mavi yakabaki!!! maisha bora? ulitaka uletewe mamilioni ndani umelala kwako? kajipangeni ccm haing'oki

CCM mnaiba kura. Halafu wewe ni mchafu sana, kumbe huwa unachambia majani ya mgomba ambayo ni ya kijani yaani alama ya chama chenu cha CCM. Sasa unathibitisha hamuwezi kujisafisha mkasafishika kama yafanyavyo majani ya kijani ya mgomba kwa M.A.V.
 
Upinzan kuchkua nchi bdo sana ....mkajipange mje na sera sio za kuchafua watu na kuwapokea then mnakimbiana ....
 
Una uhakika na kinena unacho?. Huyo mnaemtegemea lowasa ni mnafki tu na tamaa ya madaraka ndo ilomjaa. Alikuwa anaipinga katiba iliyokuwa inatetewa na Ukawa afu leo eti ndo anakuja ili aitetee hiyo katiba, huoni ni unafiki huo??! Hebu jieleweni basi nyie watu japo hata kwa akili ya kitoto.

Peleka ujinga huko Lowasa ndo Rais wa JMT amin ivo kila kitu kishawekwa Sawa
 
Viva ccm,na bado mtaongea yote mnaotaka wanasiasa wawaletee mkate mezani endelea kuota.
 
Back
Top Bottom