CCM itashinda mapema na kweupe bila bao la mkono

stuartkifua

Member
Joined
Apr 19, 2014
Posts
62
Reaction score
5
Ni wazi na ukweli uliopo kuwa uchaguzi huu chama cha mapinduzi kitashinda kwa urahis sana kuliko miaka yote na hii ni kutokana na watanzania wengi kuendelea kuwa na imani na chama hiki ingawa kama ni mgeni kwenye sisa ndo unaweza ukahemka
Kwanza vijana wengi mbali na ushabiki wengi hawatapiga kura

Pili na hata wakipiga watampigia Magufuli

Tatu wengi wa watanzania na hao vijana wanaojiita wana mabadiliko wana kadi mbili mbili za vyama na hii inaonyesha wana imani bado na chama tawala yaani CCM

Nne Mgombea wa Chama Tawala ana nguvu na ushawishi kwa watanzania wa aina zote
 
Hiyo ni kweli mkuu ndo mana hata mzee waukawa ameogopa mdahalo ili asianguke jukwaani na kupunguza kura zaidi
 
Bao la mkono la wapi tupo makini kinoma tutapigana mpaka kuche..mwaka huu lazima ccm itoke mkipiga bao la mkono sie tunawachapa mikono...wakala anaetaka kifo ajidai kupokea hela chafu..tutamchafua damu
 
Kama kupitia kura za mizoga ya ccm itashinda
 
Chama hiki hakina mpinzani kwa kuwa kina shina na mizizi kwa watanzania wale waliokiasisi chama hicho,sio chama cha watu wachache,hapa kazi tu
 
Bao la mkono la wapi tupo makini kinoma tutapigana mpaka kuche..mwaka huu lazima ccm itoke mkipiga bao la mkono sie tunawachapa mikono...wakala anaetaka kifo ajidai kupokea hela chafu..tutamchafua damu
Nyie mbona mna harufu ya damu. Wajinga sana kwani unadhani vita ina macho. Ukileta shari vijana wa Mangu wanakushughulikia. Ccm ushindi ni lazima
 
Hiyo ni kweli mkuu ndo mana hata mzee waukawa ameogopa mdahalo ili asianguke jukwaani na kupunguza kura zaidi

Kama kaogopa wa ccm amefanya kitu gani? Mbona kachomoa dkk za mwisho! Mliwahadaa wananchi yupo tayari cha kushangaza mtatoa visababu vyenu visivyo na kichwa wala miguu, tokea lini ccm wakakubali mdahalo? Angehudhuria ingekuwa historia na maajabu na hapo atabaki kupiga pushup majukwaani tu!
 
Nyie mbona mna harufu ya damu. Wajinga sana kwani unadhani vita ina macho. Ukileta shari vijana wa Mangu wanakushughulikia. Ccm ushindi ni lazima

Jaribuni kuleta zenu za kubandika watu kura mtaokota maiti..ohh
 
Ni wazi na ukweli uliopo kuwa uchaguzi huu chama cha mapinduzi kitashinda kwa urahis sana kuliko miaka yote na hii ni kutokana na watanzania wengi kuendelea kuwa na imani na chama hiki ingawa kama ni mgeni kwenye sisa ndo unaweza ukahemka
Kwanza vijana wengi mbali na ushabiki wengi hawatapiga kura

Pili na hata wakipiga watampigia Magufuli

Tatu wengi wa watanzania na hao vijana wanaojiita wana mabadiliko wana kadi mbili mbili za vyama na hii inaonyesha wana imani bado na chama tawala yaani CCM

Nne Mgombea wa Chama Tawala ana nguvu na ushawishi kwa watanzania wa aina zote

Na wewe ni mchambuzi
 
ushindi wa ccm ni wa wazi kwa sababu ccm imeshawishi na kuwafikia ana kwa ana makundi mengi zaidi ya vijana , kina mama , na wazee kuliko mgombea mwingine yeyote yule hasa mikutano ya njiani, hyo itampa magufuli ushindi
 
ukawa kusoma hamjui hata picha basi hamuoni? embu shtukeni mje, tuungane kwa pamoja tufanye kazi na Jembe Magufuli.... tuijenge Tanzania yetu
 
Teh...Teh...Teh... CCM wanafikiri wataenda kufanya zile mbinu zao za kulazimisha ushindi.....WATANZANIA HATUDANGANYIKI TENA, KURA ZETU NI KWA EDWARD LOWASSA.
 
Bao la mkono la wapi tupo makini kinoma tutapigana mpaka kuche..mwaka huu lazima ccm itoke mkipiga bao la mkono sie tunawachapa mikono...wakala anaetaka kifo ajidai kupokea hela chafu..tutamchafua damu

Hata iweje...TUTAMPIGIA KURA EDWARD LOWASSA KESHOKUTWA.
 
Back
Top Bottom