Absolutely trueKwa hali ninavyo iyona Africa,wananchi wakipata muamko mkubwa wa kifkra, naamini ipo siku ccm itaondoka madarakani tena kwa nguvu za umma.
Kwa sababu serikali imekuwa ikitumia nguvu kubwa katika kuminya haki za binadamu, kisiasa na kijamii.
Watanzania hawako huru kuhoji, kushiriki katika maamuzi makubwa ya uwongozi.
Mfano mchakato wa kupata katiba mpya
Uchaguzi huru
Uminywaji wa vyombo vya habari na vitisho.
Kuna mpango ambao upo njiani rais kuongezewa muda wa madaraka.
Unadhani CCM inapendwa?swala Ni kwanza hamna upinzani ambao unaweza kuwaaminisha wananchi kwamba unaweza kuongoza nchi,usilopoke chadema tu
Sent using Jamii Forums mobile app
wananchi hawajachakazwa kufikia mapinduzi ya kisiasa. Bado ukiwa na sh 1000 unapata ugali, pesa za kufisadi zipo. Ikifikia mwananchi siku 3 hujala hazina imekauka, tuwasiliane.Unadhani CCM inapendwa?swala Ni kwanza hamna upinzani ambao unaweza kuwaaminisha wananchi kanga unaweza kuongoza nchi,usilopoke chadema tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nchi hii siyo ya vyama vya siasa au upinzani.Nchi hii ni ya wananchi,hivyo kusema kuwa hakuna wapinzani au chama mbadala Cha kuongoza Tanzania Ni dharau kwa Watanzania.
Imemtema kivipi mpaka kuamia upinzaniUliwahi kuwaza kwamba chadema itambeba mtu ambae system yenyewe imemtema, alafu wao eti wanataka ndio awe rais wao
Sent using Jamii Forums mobile app
Wale wote mnaosubiri kwa matumaini kuwa kuna siku CCM itaondoka madarakani, mtasubiri sana.
Nilidhani haitotokea kumbe tu ni kusubiri sana. Hakuna shida kama gharama ni kusubiri, lakini ikifika siku imefikaWale wote mnaosubiri kwa matumaini kuwa kuna siku CCM itaondoka madarakani, mtasubiri sana.
Wale wote mnaosubiri kwa matumaini kuwa kuna siku CCM itaondoka madarakani, mtasubiri sana.