Hii ni kweli:-
1. Ni chama sikivu
2. Wanajua jinsi ya kutatua matatizo
3. Wameiweka nchi katika hali ya utulivu.
NI ZAIDI YA TUPOI na U-POYO:
CHAMA CHA MABWEPANDE NI SIKIVU?.
1/ Yawezekana kutokana na utekelezwaji wakilio cha wananchi juu kudhibitiwa MAFISADI na wapora rasilimali wanao pora mpaka wanyama wakiwa hai,
Ama kilio cha wachimba migodi wazawa ambao migodi na ardhi yao vimekuwa viki kabidhiwa kwa wavamizi wa kigeni wanaopewa kipau mbele kuliko wazawa,
Ama Usikivu juu malalamiko mbali mbali ya watumishi wa serikali km Ma Daktari na Walimu,na baadae kwenda jificha mahakamani?
Unathubutuje kusema CHAMA CHA MABWEPANDE NI SIKIVU?.
2/. Wanajua jinsi ya kutatua matatizo??
Ni hili Tatizo la mafisadi? kuanzia
Richmond,
EPA,
Dowans,Lada,
Meremeta,
Wanyama,Na
Mabilion ya USWIS au?!.Suala la kuvua GAMBA na Kufukuza mafisadi wote limeshakuwa hadithi ama sinema na mwisho wake tuliambiwa wakishughulikiwa nchi itayumba.
We sijui hii nguvu ya hayo uya nenayo umeitoa wapi.au we KILAZA?
3/. Wameiweka nchi katika hali ya utulivu??!
We kweli tunguja matukio yanayo fanywa na
POLICCM Na Usalaam /Taifa (Pande issue ya Dr Uli,Morogoro,na Jana Iringa) ni ya AMANI?,
Taasisi za UMMA zimekuwa watumwa na Vibaraka wa
CHAMA CHA MABWEPANDE katika kugandamiza(kufungiwa kwa
mwanaHALISI) haki na uhuru wa raia.
USHAURI:Ukiwa mtumwa wa akili HUWEZI KUJITAWALA HATA KIMWILI sasa kijana jichunguze.