Nahonyo
JF-Expert Member
- Dec 28, 2012
- 5,374
- 5,016
Ulitakiwa uache sasa hivi, Yanga ni Sehemu ya CCM, hebu rudi kwenye histoli uone. Hata wakati wa uchaguzi mkuu, picha ya mgimbea wa CCM hubandikwa pale kilabuni, kwanini hawaweki Simba.
Unawezaje leo kuitenganisha Yanga na CCM.
Sent using Jamii Forums mobile app