TeamCCM-2015
Senior Member
- Aug 19, 2015
- 112
- 44
Na mbaya zaidi ingekuwa kama Magufuli anangegombea UKAWA na Lowassa CCM. CCM wangeambulia 10 % tu.Matokeo yaliyopo sasa yanaonyesha wazi kuwa CCM ingemsimamisha Lowasa ingepigwa mwereka mbaya sana.
Hongera CCM kwa kuliona hili mapema na pia hongera sana mwana wa kitanzania na mzalendo John Pombe Magufuli.
Matokeo yaliyopo sasa yanaonyesha wazi kuwa CCM ingemsimamisha Lowasa ingepigwa mwereka mbaya sana.

Huyu fisadi anamambo ya kihuni sana kila kitu anafanya sanaa tu.Jamaa kiburi na kujiamini kote kumbe ni kwenye uhalifu wa Mtandao. Baada ya kudakwa wale vijana ndo akaanza kulia lia mwanzo alisema uchaguzi ulikuwa huru
Matokeo yaliyopo sasa yanaonyesha wazi kuwa CCM ingemsimamisha Lowasa ingepigwa mwereka mbaya sana.
Hongera CCM kwa kuliona hili mapema na pia hongera sana mwana wa kitanzania na mzalendo John Pombe Magufuli.
Matokeo yaliyopo sasa yanaonyesha wazi kuwa CCM ingemsimamisha Lowasa ingepigwa mwereka mbaya sana.
Hongera CCM kwa kuliona hili mapema na pia hongera sana mwana wa kitanzania na mzalendo John Pombe Magufuli.
Angeshindwa kwa tume ipi? nec au zec
Jamaa kiburi na kujiamini kote kumbe ni kwenye uhalifu wa Mtandao. Baada ya kudakwa wale vijana ndo akaanza kulia lia mwanzo alisema uchaguzi ulikuwa huru