Kama Kuna wakati ccm imebanwa kutoka ndani ukiacha upinzani ni wakati huu. Mimi najiuliza kama wakiendelea namna hii na sioni kama wanaona hatari inakuja mbele yao. Je wakichukua Dola kama walivyokaza watatawala nchi ya aina Gani?
Maana wamekataliwa kabisa na watanganyika na wanaforce kabisa mpaka inakataaa. Huu mgawanyiko wataweza kuusawazisha. Na ikishindikana tutakuwa na nchi ya aina gani
C CM iwe makini kwenye kero za wananchi, kuteka na mauaji, raslimali za nchi,haki na wajibikaji na uongozi thabiti wenye kufuata katiba na sheria za nchi a la Mkapa hapo wataendelea kutawala, for sure. Ni hayo tu yanayowaangusha.