CCM inawaogopa Mh Mbowe na Dr Slaa

TANGU ZITTO ATIMULIWE sijamsikia tena wasira akitaja siku ya kufa cdm .
 
issue ni kwamba watanzania hatuna nia madhubuti kujikomboa toka mikononi mwa ccm 37 yrs utawala wa ccm na bado hamna nia ya kunikomboa
 
sasa nimejua kwanini walitaka kumuua MH MBOWE kule ARUSHA na DR SLAA kule shinyanga .
 
issue ni kwamba watanzania hatuna nia madhubuti kujikomboa toka mikononi mwa ccm 37 yrs utawala wa ccm na bado hamna nia ya kunikomboa
cdm
ndio tumekwisha kuja kukukomboa mkuu usikate tamaa na haturudi nyuma .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…