CCM inaufahamu ugumu wa 2020

CCM inaufahamu ugumu wa 2020

Nawasubiri kwa hamu 2020.
Najua ikikaribia 2020 wataanza kuboresha mambo mawili matatu, ni zamu yao kuisoma namba

Nothing is easier than blaming others for your own problems
 
Ccm mnafanya siasa za kitoto kabisa. Mnakuwa kama watoto wakicheza kwenye mchanga mwenye nguvu ndiyo anayeonekana kucheza kila wakati. Kama huna nguvu ukitaka kucheka unashhikwa mkono. Mwambieni Magu ukweli. Kiki hazijenhi. Kama yeye kweli ni rais by action achia demokrasia ikuweke huru. Watz si wataona unachokifanya watakuchagua kwanini unazuia wasikuone?
 
Nilidhani kuna jambo la maana kumbe ni hoja nyepesi hivi? Labda nikusaidie tu Mkuu kama CCM kutoka au kutoshika tena dola basi inaweza ikawa mwaka wa 10000 au mwaka 10,015 ila siyo kwa sasa, kesho, keshokutwa na mtondogoo. Fanyeni mambo mengine ila msipoteze muda wenu mkidhani CCM itang'oka leo na kwanza bado sijaona Chama cha Upinzani nchini Tanzania bali nawaona tu Wanaharakati ambao hata Wao pia mdomoni ni Wapinzani ila Mioyoni mwao ni wana CCM wazuri tu.
Machoni na masikioni CCM inachapa kazi lakini kwenye maisha halisi ya Watanzania CCM haifanyi kazi bado. Mfano, Mfanyakazi anataka pesa leo akalipe ada ya mwanawe leo kumwambia sikupi pesa leo hadi usubiri niwasake na kuwaondoa kwanza wafanyakazi hewa, wenye vyeti feki, makenikia, nk kwake ni kama porojo tu maana ada, matibabu, chakula, uniform na kodi ya nyumba vinahitajika leo leo sio kesho. Hii maana yake wananchi wanahitaji ajira, kupandishwa madaraja, kupandishiwa mishahara, kupata matibabu, kupata chakula, kodi, nk leoleo
 
Lazima waianze sasa kazi inayopaswa kuanza 2020, vinginevyo dunia nzima itatikisika.
2020 ni kama kumsukuma mlevi yani mliokaa mkiisubiria 2015 ndo hao hao mnaojinasibu kuisubiria 2020 poleni sana.

Kuong'oa CCM kwenye dola bado sana kwa taarifa yenu kwa haraka tu Dar es salaam yote itarudi, Tanga inarud,mbeya inarudi,lindi kunarudi,babati inarudi hyo ni kwa haraka haraka tunaendelea kuwanyoosha kimya kimya.

Kidumu chama cha Mapinduzi
 
Lazima waianze sasa kazi inayopaswa kuanza 2020, vinginevyo dunia nzima itatikisika.
Tunajua Sana ndo maana bondia mwenzetu tumemfunga mikono yote huku tunapigana naye lakini bado aliyefungwa mikono ananguvu ambayo mtaji wake ni raia wasiopendezwa na jeuri ya Mungu watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilidhani kuna jambo la maana kumbe ni hoja nyepesi hivi? Labda nikusaidie tu Mkuu kama CCM kutoka au kutoshika tena dola basi inaweza ikawa mwaka wa 10000 au mwaka 10,015 ila siyo kwa sasa, kesho, keshokutwa na mtondogoo. Fanyeni mambo mengine ila msipoteze muda wenu mkidhani CCM itang'oka leo na kwanza bado sijaona Chama cha Upinzani nchini Tanzania bali nawaona tu Wanaharakati ambao hata Wao pia mdomoni ni Wapinzani ila Mioyoni mwao ni wana CCM wazuri tu.
Ndoto nzuri kweli hii " there is always a 1st time " dunia itatikisika kweli ccm wakirudi ikulu sio kwa uozoo huu " mwambie magufuli aache kuombewa awatetee wanyonge aanze kuombewa kupenndwa na wanyonge "..
 
Sijaona chama cha siasa makini cha kuitoa CCM madarakani
Any way tusibishane sana tusubirini tu hiyo 2020
Ukawa kafungueni kesi mahakamani kupinga katazo la mikutano ..jamaa ndembendembe wananchi tutapiga kura za hasira kama Ivory coast
 
Back
Top Bottom