2020 kunanini..Lazima waianze sasa kazi inayopaswa kuanza 2020, vinginevyo dunia nzima itatikisika.

Lazima waianze sasa kazi inayopaswa kuanza 2020, vinginevyo dunia nzima itatikisika.
Kubali kataa ukweli ndo huo!Nilidhani kuna jambo la maana kumbe ni hoja nyepesi hivi? Labda nikusaidie tu Mkuu kama CCM kutoka au kutoshika tena dola basi inaweza ikawa mwaka wa 10000 au mwaka 10,015 ila siyo kwa sasa, kesho, keshokutwa na mtondogoo. Fanyeni mambo mengine ila msipoteze muda wenu mkidhani CCM itang'oka leo na kwanza bado sijaona Chama cha Upinzani nchini Tanzania bali nawaona tu Wanaharakati ambao hata Wao pia mdomoni ni Wapinzani ila Mioyoni mwao ni wana CCM wazuri tu.
Sasa kama ni kweli wapinzani wamepoteza dira na hawana Sera, ni kitu gani kinachowaogopesha hao CCM kiasi ambacho wanataka wafanye wao tu CCM mikutano ya kisiasa na kuwazuia Chadema wasifanye mikutano yoyote ya ndani na mikutano ya hadhara?Hivi kuna upinzani wa maana wakumtoa Magufuli 2020 au ni ndoto za majinamizi!!
Huu upinzani unalopoka upupu tu kwenye mitandao mara hiki mara nchi isusiwe ndo wapewe nchi ooh hebu acheni masihara.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha porojo zako!Na ndiyo maana ya hofu zote na sisi wapiga kura tunafuatilia wapinzani wanasema nini kwani kutoka ccm ni udanganyifu tu unaosikika. Maendeleo ni ya watu siyo vitu.
Sijaona chama cha siasa makini cha kuitoa CCM madarakaniLazima waianze sasa kazi inayopaswa kuanza 2020, vinginevyo dunia nzima itatikisika.
Sijaona chama cha siasa makini cha kuitoa CCM madarakaniLazima waianze sasa kazi inayopaswa kuanza 2020, vinginevyo dunia nzima itatikisika.
Bora kwanza walivyopiga marufuku maana hivi vyama vina maneno yenye kusambaza chuki tu havina siasa za kusaidia wananchi hebu imagine tundu Lisu yuko anahutubia watu anawaambia wananchi tumeomba jumuiya za ulaya ziisusie tanzania si upuuzi tu.Sasa kama ni kweli wapinzani wamepoteza dira na hawana Sera, ni kitu gani kinachowaogopesha hao CCM kiasi ambacho wanataka wafanye wao tu CCM mikutano ya kisiasa na kuwazuia Chadema wasifanye mikutano yoyote ya ndani na mikutano ya hadhara?
Sasa kama kweli wao CCM wanakubalika kwa wananchi kama wanavyotaka kutuaminisha, ni kwa nini hawataki kuacha uwanja sawa wa kufanya siasa hapa nchini?
Ili ule msemo wa kizuri chajiuza na kibaya chajitembeza ufanye kazi na wananchi ndiyo tuwe waamuzi wa kuamua ni upi MCHELE na ipi ni PUMBA?
Bora kwanza walivyopiga marufuku maana hivi vyama vina maneno yenye kusambaza chuki tu havina siasa za kusaidia wananchi hebu imagine tundu Lisu yuko anahutubia watu anawaambia wananchi tumeomba jumuiya za ulaya ziisusie tanzania si upuuzi tu.
Hata hivyo wabunge ruksa kufanya siasa kwenye majimbo yao,wasikimbie majimbo na wananchi wao kwa kisingizio cha kukatazwa, kumbe wakitafuta kiki kwenye tv mjini.
Sent using Jamii Forums mobile app