Borakufa
JF-Expert Member
- May 26, 2011
- 1,503
- 390
Baada ya kuona mambo yamewabana kona zote katika kampeni za uchaguzi mkuu ujao(25.10.2015) na ili kuhakikisha wanabaki madarani kwa njia yoyote ile,katibu mkuu wa chama cha mapindizi ndugu,kanal Abulahman Omary Kinana (Bingwa wa propaganda)ametupia makala katika mtandao wa The Hill wa usa ili kutafuta nafuu pale watakapoanza kulikoroga kura zisipotosha.
Makala hiyo ambayo ameipa jina la ''Tanzania haiwezi kuruhusiwa kuwa uwanja mpya wa magaidi'' Kanal kinana amemunganisha mgombea urais kupitia chama cha CHADEMA na mashekh wa zanzibar (uamsho)ambao wako kizuizini kwa tuhuma za ugaidi.
Katika makala yake kanal Kinana anawadhibitishia wamarekani na dunia kuwa wale masheikh wa znz ni magaidi na wana mahusiano na magaidi wa boko harama wa huko afrika magharibi/kaskazini.
Eti kwa kuwa mh.Lowasa alisema,kama akishinda kiti cha urais atapitia mashauri ya hao masheikh ili kuona kama haki inatendeka, kanal Kinana anawaambia wazungu kuwa Lowasa kuwa rais ni hatari sababu atawaachia magaidi ambao wamekuwa wakiwamwagia watalii tindikali znz, kuchoma makanisa na kuwauwa mapadre.
Nimechoka sana!
Chanzo cha habari ni: Gazeti la Mwanahalisi ambalo limeanza kutolewa tena leo baada ya kufungiwa zaidi ya miaka 3.
Lakini unaweza pia kuchungulia huko The Hill ili uone wauza pembe za ndovu wanavyo mwogopa EL.