CCM inarudi kuwa imara maradufu

kwani walisema inakufa
 
Namna moja tu ya kuirudisha CCM kwenye mioyo ya Watanzania ni kwa CCM kutekeleza ahadi yake ya maisha bora kwa kila Mtanzania. Kwa sasa wapo kwenye about -20%. Wakifanikiwa kufika angalau 60% watarudi mioyoni mwa Watanzania. ..
 
Kweli CCM itaongoza kwa muda mrefu sana nauhakika..ila pale maliasili zetu zitakapoisha madawavya kulevya kubanwa am kuachwa yasilimwe, tembo na vifaru vitakapo isha mbugani na ufisadi kuondolewa nchini Tanzania na hapo CCM itakuwa imekwisha..lakini kwa chama hiki chetu kinacho kumbatia rushwa ujangili kukwepa kodi n kuingiza wageni wafaidike na wao kundi dogo la wenye n hi basi mtaji wa kubakia madarakani dahari na dahari utaendelea. Sijui lini CCM itarudi kwa wanyonge wakulima vijijini na wafanyakazi wadogowadogo
 
munajipa moyo wakat munapumulia mashine, mukafie mbali huko.
 
Chama cha wachaga ndio hatari kuliko vitu vyote Tanzania hii

Watu washaondokana na dhana ya ukabila miaka miingi..wewe bado upo huko?!

Anzisha basi chama cha kabila lako kipambane na hicho cha Wachaga unachosema!!
 
Tatizo WANANCHI WANATAKA MAISHA BORA WALIYOAHIDIWA na si mikutano ya hadhara.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…