HAPA HAKUNA KATIBA.....Rudi kasome tena?? MUHULA WA MGOMBEA URAIS NI WA KIPINDI CHA MIAKA MITANO TU!!!Katiba inahesabu kuwa 2021-2025 ni kipindi cha kwanza cha Samia. Ikiwa atagombea 2025 akashinda,akifika 2030 katiba haitamruhusu tena kugombea uraisi.
Awamu ya kwanza aligombea lini na alishinda kwa kura ngapi?
Haruhusiwi kugombea mitano mingine KWA mujibu wa katiba? Katiba haina kipengele kinachozungumzia vipindi viwili vinavyoruhusiwa KWA mgombea?HAPA HAKUNA KATIBA.....Rudi kasome tena?? MUHULA WA MGOMBEA URAIS NI WA KIPINDI CHA MIAKA MITANO TU!!!
muhula wa kwanza wa samia bado hajauanza, labda aanze muhula wa kwanza kwake ni 2025 kama atatia nia, huu wa sasa ni muhula wa pili wa marehemu JPM aliyekuwa makamu wake anamalizia, ndio maana anamalizia kazi za JPM ambapo zitaishia 2025. CCM ilitoa muongozo huo na inatambua ni muhula wa pili wa utekelezaji wa ilani na ni wa mwisho baada ya hapo watanzania watasema ili ccm aje na ilani nyingine tumpime atakwenda kufanya nini miaka kumi mingine mipya......Kwa mujibu wa Katiba muhula wa pili KWAKE utaisha 2030, hivyo sasa hivi Yupo muhula wa kwanza na Kwa Utamaduni wa CCM uliozoeleka Huwa hakuna haja ya kuwapa fomu wengi wakati Yupo tayari aliyeanza kutekeleza Ilani muhula wa kwanza. HUKO CHADEMA, Uchaguzi wa Mwenyekiti unapofanyika anayejaribu kuleta upinzani hutazamwa negatively......Muulize Cecil Mwambe....
Sio udhalilishaji jamaa yanguBila aibu, baadhi ya viongozi wa CCM wanafanya vitendo vya kumdhalilisha Rais Samia.
Tumesikia kelele za baadhi ya viongozi wa CCM kuwa eti mwaka 2025, kwa upande wa CCM, itachapishwa fomu moja tu ya mgombea wa Urais, nayo atapewa Rais Samia.
Mimi nauona huu udhalilishaji dhidi ya Rais. Tafsiri ya kuchapisha fomu moja ni kwamba Rais Samia akishindanishwa, hawezi kushinda. Je, fikra hizo zina ukweli wowote? Kwa nini wamfanyie hivyo Rais Samia?
Ni nani hao ambao wanaamini kuwa Rais Samia akishindanishwa nao, hawezi kuwashinda? Ni hawa hawa wateule wake au kuna wengine?
Namalizia K Vant yangu hapa. Akikujibu nitag nitaiona keshoNgoja
Mkapa 2000 alishindanishwa na nani?
Kikwete 2010 alishindanishwa na nani?
Shujaa Magufuli 2020 alishindanishwa na nani?!
Niko pale......
💩Bila aibu, baadhi ya viongozi wa CCM wanafanya vitendo vya kumdhalilisha Rais Samia.
Tumesikia kelele za baadhi ya viongozi wa CCM kuwa eti mwaka 2025, kwa upande wa CCM, itachapishwa fomu moja tu ya mgombea wa Urais, nayo atapewa Rais Samia.
Mimi nauona huu udhalilishaji dhidi ya Rais. Tafsiri ya kuchapisha fomu moja ni kwamba Rais Samia akishindanishwa, hawezi kushinda. Je, fikra hizo zina ukweli wowote? Kwa nini wamfanyie hivyo Rais Samia?
Ni nani hao ambao wanaamini kuwa Rais Samia akishindanishwa nao, hawezi kuwashinda? Ni hawa hawa wateule wake au kuna wengine?
Tafsiri zinatofautian,subiri mwezi wa kumi Mbowe mtashindana nae huko kwenye chama chake,kachukue fomu ugombee.Kama siyo udhalilishaji, tuite nini?
Unaponiwekea kinga kwamba, hairuhusiwi mtu kushindana na mimi, kwa vyovyote unaniambia kuwa wakiruhusiwa wengine, siwezi kushinda.
Ngoja
Mkapa 2000 alishindanishwa na nani?
Kikwete 2010 alishindanishwa na nani?
Shujaa Magufuli 2020 alishindanishwa na nani?!
Niko pale......
Kuielewa CCM kazi sana!Bila aibu, baadhi ya viongozi wa CCM wanafanya vitendo vya kumdhalilisha Rais Samia.
Tumesikia kelele za baadhi ya viongozi wa CCM kuwa eti mwaka 2025, kwa upande wa CCM, itachapishwa fomu moja tu ya mgombea wa Urais, nayo atapewa Rais Samia.
Mimi nauona huu udhalilishaji dhidi ya Rais. Tafsiri ya kuchapisha fomu moja ni kwamba Rais Samia akishindanishwa, hawezi kushinda. Je, fikra hizo zina ukweli wowote? Kwa nini wamfanyie hivyo Rais Samia?
Ni nani hao ambao wanaamini kuwa Rais Samia akishindanishwa nao, hawezi kuwashinda? Ni hawa hawa wateule wake au kuna wengine?
Ccm wawe jasiri kuachana na huu utaratibu wa sasa. Unaweza kuja kuwaletea madhara ikiwa wananchi watamkataa kwa kura nyingi. Isitoshe rais si malaika, anaweza kuwa dhaifu nchi ikaharibika, miaka 10 si mchezo kuja kurekebisha. Ipo siku huu ubabe utafika mwisho, tuangalie historia ya nchi jirani kama Zambia, Malawi, Kenya... ipo sikuNashangaa nchi ya kidemokrasia, lakini CCM inaogopa kupingwa kijanja janja
Na hii ndio dalili ya wanayoyafanya hata kwenye uchaguzi dhidi ya vyama vingine
Ili tumpate magufuli mwingine ni lazima kuwepo na upinzani mkali kuanzia ndani ya chama mpaka nje
Vinginevyo hapo tutapata mafisadi tu
Shame
Kiuhalisia ilitakiwa mwakani watu washindanishwe na fomu zitolewe kwa kila mwanachama mwenye sifa. SSH anamilizia awamu ya JPM, sema tu katiba yetu ina mapungufu sana.Ngoja
Mkapa 2000 alishindanishwa na nani?
Kikwete 2010 alishindanishwa na nani?
Shujaa Magufuli 2020 alishindanishwa na nani?!
Niko pale......
Lini aligombea kwa awamu ya kwanza?Nchi ina matahira wengi sana, jitu mpaka leo halijui hata utaratibu wa CCM mgombea anapogombea awamu ya pili.
Ngoja nikuulize mleta mada, eti una mtoto?
Sasa kwanini mnamtukana na mnawalipa watu wamtukane mwanamke pekee daktari wa madaktariNI mahaba ni mapenzi kwa raisi wetu, kwa mwenyekiti wetu ,kipenzi mwanamke wa pekee,Daktari wa madaktari Samia Suluhu Hassani mama wa kizimkazi tunataka kumshindanisha na Mbowe ndio mwenyekiti Lissu bado sana!
Ifeke mahala Samia ajitathmini....Bila aibu, baadhi ya viongozi wa CCM wanafanya vitendo vya kumdhalilisha Rais Samia.
Tumesikia kelele za baadhi ya viongozi wa CCM kuwa eti mwaka 2025, kwa upande wa CCM, itachapishwa fomu moja tu ya mgombea wa Urais, nayo atapewa Rais Samia.
Mimi nauona huu udhalilishaji dhidi ya Rais. Tafsiri ya kuchapisha fomu moja ni kwamba Rais Samia akishindanishwa, hawezi kushinda. Je, fikra hizo zina ukweli wowote? Kwa nini wamfanyie hivyo Rais Samia?
Ni nani hao ambao wanaamini kuwa Rais Samia akishindanishwa nao, hawezi kuwashinda? Ni hawa hawa wateule wake au kuna wengine?
Bila aibu, baadhi ya viongozi wa CCM wanafanya vitendo vya kumdhalilisha Rais Samia.