Ccm kuwa kama nccr , chauma, chadema nk
Ikiwa tu ni kweli wafadhili wanufaika na chama wakwepa Kodi wakianza kulipa Kodi zetu effectively , hawatakuwa na sababu ya kuchangia chamani kwani HAPA KAZI TU
hakuna kubebana
Maana
We kweli juha. Ivi unajua vizuri vyanzo vya pesa vya CCM?

Wewe ndio hujui kitu. ...wakwepa kodi wote nchini Tanzania ni wanachama wa ccm, na ndio wafadhili wakubwa hasa kipindi cha uchaguzi. ..
Mmoja ya mfadhili wa ccm ambae ni mfanya biashara wa mafuta, kipindi cha uchaguzi alikuwa akitoa 100 mil kila wiki. ...akaelemewa na akalazimika kubadili namba ya simu, na akahamishia ofisi zake Kigamboni. ...
Sasa huyo malipo yake ni kutokulipa kodi. ..na hawa ni moja ya vyanzo vya mapato vya ccm. ..usikae kwa ushabiki wa kipuuzi
Matatizo ya kulala na njaa hayaa
Nadhani upo kwenye siku zako,pole sana.Ccm kuwa kama nccr , chauma, chadema nk
Ikiwa tu ni kweli wafadhili wanufaika na chama wakwepa Kodi wakianza kulipa Kodi zetu effectively , hawatakuwa na sababu ya kuchangia chamani kwani HAPA KAZI TU
hakuna kubebana
Maana
All TRUTH