Bila polisi ccm haiwezi kuishi hata zaidi ya siku 7Ukiona chama kinategemea "mbeleko" ya vyombo vya dola, ujue chama hiko siku zake za kubaki madarakani zinahesabika!
Umenena Mkuu.kiongozi umenena,ccm inaanza kufa kwani kitendo cha kuwatoa nje mawakala wa upinzani ili kujifanyia uchaguzi haramu hata uingereza ilifanya kule zanzibar 1953,Makaburu walifanya Afrika kusini,Zambia ,Zimbambwe nk lakini ikafika mwisho,Nani hamfahamu mugabe yuko wapi?
🙁😵😱. Hatari...CC. Engineer Dokta wa Madokta, simba asiyefugika H.Excellency John Pombe Magufuli
View attachment 643792
Kipigo kipi cha uchaguzi??Kipigo cha uchaguzi wa udiwani naona kimewachanganya hasa munaweweseka hasa.
...."hizi ni nyufa za kawaida kabisa, msiwe na wasiwasi wananchi"... by mkurugenzi TBA...CC. Engineer Dokta wa Madokta, simba asiyefugika H.Excellency John Pombe Magufuli
View attachment 643792
Go to hell,!!!mleta mada na mnaoiombea com mauti mtambue kuwa mtakufa nyie ccm mtaiacha iko hai inatawala milele.
Kafanye mambo yako uongeze kipato chako achana na siasa za nchi hiiMsingi Mkubwa wa Chama chochote cha siasa kwenye ushindani wa vyama vingi, ni namna kinavyoweza kujenga hoja dhidi ya hoja zinazoibuiwa na upinzani, na hatimaye wananchi waweze kubaini kuwa walichoaminishwa na upinzani kumbe ni " fix" tupu!
Tokea serikali ya awamu ya 5 ya Chama kikongwe CCM iingie madarakani miaka takribani 2 iliyopita, wao wamekuwa na kazi moja ya kupambana na wapinzani huku wakiwa "assisted" na Jeshi la Polisi kuhakikisha kuwa vyama hivyo makini vya upinzani vinakufa!
Mbinu nyingine wanayotumia hao CCM ni kuwanunua wapinzani kwa fedha taslimu au kuwaahidi vyeo, wakiamini pia kuwa kwa njia hizo wataua upinzani nchini.
Nipende kuwaambia hao maccm wanaoamini kuwa wataua upinzani kwa njia hiyo kuwa wanajidanganya kupita kiasi, kwa kuwa wanazidi kuviimarisha vyama hivyo kwa kuwa wananchi walio wengi hivi sasa wamebaini mbinu hiyo ovu ya CCM na hivyo kuwajengea chuki zaidi chama hicho kikongwe kabisa hapa nchini.
Niwaambie CCM kuwa warudi kwenye misingi iliyokianzisha chama hicho ya kurejea kuimarisha idara ya uenezi wa Chama, katika kujibu makombora ya upinzani, na kamwe wasidhani kuwa kwa kutumia "pyupyu" ndiyo wataua upinzani.
Upinzani hapa nchini hautauwawa kwa mitutu ya bunduki, bali watu waachiwe waone juhudi za maendeleo zinazofanywa na serikali yao ya CCM na hapo ndipo kwa hiyari yao kila mtanzania ataona umuhimu wa kujiunga na CCM.
Na kama CCM wataendelea na mtindo wao waliounzisha wa kutumia Jeshi la Polisi kuwatisha wananchi wasio na hatia na kuwabambikia kesi, hakika tutazihesabu siku za chama cha CCM kuendelea kubaki madarakani.
Na hakika zipo kila dalili za the last minutes of the dyeing horse.......
Kwa maneno mengine ni kuwa VERY SOON, CCM watalazimika kuachia madaraka, kama watapuuza ushauri huo muhimu wa wao kuendelea kusurvive.
Mungu ibariki Tanzania na uwabariki wananchi wake wabaini Sera nzuri wanazohubiriwa na wanasiasa, whether ni kutoka chama tawala au kutoka upinzani.
Uzuri ni kwamba hali ikiendelea hivi mvurugano utaanzia huko huko ndani kwa ndani. Kwa maana wakishajiona wamemaliza kuwadhibiti wapinzani sasa wataanza kutafuta madhaifu yaliyopo huko huko ndani na huo ndio utakuwa mwisho wa uongozi wa kiimla tunauona ukikua kwa kasi. Tuna mifano kadhaa hapa tuliishuudia kwa machoNi ukweli ulio wazi sisiem ishakufa kwa sasa imeshikiliwa na vyombo vya dora,,,vyombo vya dora ndio vinashindana na vyama vya upinzani
Hata hii ninayofanya ni moja ya shughuli zangu.Kafanye mambo yako uongeze kipato chako achana na siasa za nchi hii
We kaakaa ka ndezi hafu wengine wanatusua
Shauri yako
UnaotaMsingi Mkubwa wa Chama chochote cha siasa kwenye ushindani wa vyama vingi, ni namna kinavyoweza kujenga hoja dhidi ya hoja zinazoibuiwa na upinzani, na hatimaye wananchi waweze kubaini kuwa walichoaminishwa na upinzani kumbe ni " fix" tupu!
Tokea serikali ya awamu ya 5 ya Chama kikongwe CCM iingie madarakani miaka takribani 2 iliyopita, wao wamekuwa na kazi moja ya kupambana na wapinzani huku wakiwa "assisted" na Jeshi la Polisi kuhakikisha kuwa vyama hivyo makini vya upinzani vinakufa!
Mbinu nyingine wanayotumia hao CCM ni kuwanunua wapinzani kwa fedha taslimu au kuwaahidi vyeo, wakiamini pia kuwa kwa njia hizo wataua upinzani nchini.
Nipende kuwaambia hao maccm wanaoamini kuwa wataua upinzani kwa njia hiyo kuwa wanajidanganya kupita kiasi, kwa kuwa wanazidi kuviimarisha vyama hivyo kwa kuwa wananchi walio wengi hivi sasa wamebaini mbinu hiyo ovu ya CCM na hivyo kuwajengea chuki zaidi chama hicho kikongwe kabisa hapa nchini.
Niwaambie CCM kuwa warudi kwenye misingi iliyokianzisha chama hicho ya kurejea kuimarisha idara ya uenezi wa Chama, katika kujibu makombora ya upinzani, na kamwe wasidhani kuwa kwa kutumia "pyupyu" ndiyo wataua upinzani.
Upinzani hapa nchini hautauwawa kwa mitutu ya bunduki na wala kwa kuwanunua wapinzani, watu waachiwe waone juhudi za maendeleo zinazofanywa na serikali yao ya CCM na hapo ndipo kwa hiyari yao kila mtanzania ataona umuhimu wa kujiunga na CCM.
Na kama CCM wataendelea na mtindo wao waliounzisha wa kutumia Jeshi la Polisi kuwatisha wananchi wasio na hatia na kuwabambikia kesi, hakika tutazihesabu siku za chama cha CCM kuendelea kubaki madarakani.
Na hakika zipo kila dalili za the last minutes of the dyeing horse.......
Kwa maneno mengine ni kuwa VERY SOON, CCM watalazimika kuachia madaraka, kama watapuuza ushauri huo muhimu wa wao kuendelea kusurvive.
Mungu ibariki Tanzania na uwabariki wananchi wake wabaini Sera nzuri wanazohubiriwa na wanasiasa, whether ni kutoka chama tawala au kutoka upinzani.
Kufikiri kwenu kumegotea hapo?kile kipigo cha tarehe 26 kimewachanganya akili pamoja na kupigwa 42 kwa moja bado unajiona we ndo mshindi kweli nyumbu mpo katika ubora wenu
Usitusemee Watz wote tafadhaliWatz hawako tayari kuwapa nchi.Heri matatizo ya CCM kuliko shida tukazoenda kuzipata dhidi ya walaghai wa CDM