kitongoroso
Member
- Nov 3, 2013
- 29
- 4
Chama cha mapinduzi kinatapatapa kila kukicha kuhakikisha kuwa kinalikomboa jimbo la Moshi mjini jambo ambalo ni sawa na ndoto za mchana kwani hawataweza kamwe kwa jinsi CHADEMA ilivyojiimarisha jimboni hapa. Kipindi hiki Chama cha mapinduzi kimemtuma kada wake kutoka daresalam anayefanya kazi bank sijajua ni bank gani hasa kwa uchunguzi anaitwa VICTOR TESHA kuja kujipitisha jimboni ili 2015 aweze kumngoa mzee Ndesamburo.
Kada huyu anajipitisha kweli jimboni hapa ila kwa ushauri tu aachane na hili jambo kwani linaweza kumpotezea muda na kazi yake pia, ni bora akaendelea na kazi yake ya kututunzia fedha zetu huko bank kwani siasa hatoziweza kabisa CCM wajaribu kumtuma mtu mwingine si huyu kijana mdogo. Kwa jinsi Moshi Mjini ilivyo CCM nawashauri wamtume JK kabisa aje kugombea na Ndesamburo labda anaweza kuleta upinzani.