Nimemsikiliza Nape alipokua akitoa sababu za kusitisha matangazo ya moja kwa moja.
Ukizisikiliza hoja zile, kama huoni mbali basi utamsifia sana Nape na serikali yake. Ni hoja tamu kuzisililiza lkn kuna jipu linalobinya upatikanaji wa habari hapo. Kwa muda sasa ccm wamekuwa wazuri sana katika kujenga hoja zinazosikika vema kwa wananchi lkn ndani yake kunakuwa na bomu.
Kwa hili la matangazo ya moja kwa moja ya bunge naomaba ukawa nanyi muite waandishi mueleze kwann mnang'ang'ania live coverage ya bunge? Vinginevyo wananchi wengi watawaona mnataka kuuza sura.
Njooni na hoja za kupangua visingizio vya Nape.