TL. Marandu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 3,625
- 5,810
Nijaribu Kueleza Kwa Kifupi sana, Hujuma Kubwa sana ya Kisiasa, Iliyofanywa na Inayoendelea Kufanywa na CCM dhidi ya UKAWA Tangu Kabla ya Uchaguzi wa 2015, Wakati wa Uchaguzi na Hadi sasa.
Matendo ya CCM wakati Ule yalionyesha Jinsi ambavyo walijua wazi Kuwa hawawezi kuishinda Ukawa Kihalali, Na Hata sasa Matendo yao Ya Hujuma chafu sana na Za Aibu, Za Fidhuli na Jesuri, Zinaonyesha Wanafahamu hawakushinda Kihalali na Wanahofu Kubwa sana Juu ya Ukawa.
Hujuma Chafu za CCM Kabla na Baada ya Uchaguzi.
1) Wakati CCM wakilikuwa wamefanya Ufunguzi wa Kampeni zao Jangwani bila ya Kubugudhiwa na Yeyote, CCM wakitumia Vibaraka Wao walijaribu sana Kuwazuia Ukawa wasitumie Uwanja wa Jangwani, Wazalendo, Wapenda amani Wa Ukawa wakajitahidi sana Kutafuta haki ya Kutumia uwanja Ule Kwa amani bila fujo.
2) Wakati wa Upigaji Kura CCM wakitumia Dola wakakataza Ukawa wasikae mita 200 Kulinda kura, na Pia Wakawazuia wengi wa Mawakala wao Kuingia vituo vya kuhesabia Kura, Ukawa Wakakumbatia amani.
3) Serikali ya CCM Ikavamia na Kupora Kijambazi kwa Kutumia Polisi Computer zaidi ya 60 za Ukawa za Vijana waliokuwa wakisaidia Kujumisha matokeo ya Kura za Urais Kuharibu Ushahidi wa Matokeo, Ikauma sana, Ukawa Wakakumbatia amani.
4) CCM wakitumia Dola Wakafuta Matokeo ya Uchaguzi wa Zanzibar ambapo Maalim Seif Alishinda, na Hapo Pia Ukawa Wakakumbatia Amani.
5) CCM wakitumia Vibaraka wao wakajaribu sana Kuiba Umeya wa Majiji ambayo Ukawa walishinda kwa Kutumia mbinu chafu sana na za Kutia aibu, Ukawa wakakumbatia amani, wakadai haki kwa Uvumilivu.
6) Akauawa Kiongozi wa Ukawa Alphozo Mawazo, CCM na Mapolisi wao wakazuia Mazishi, Ukawa wakakumbatia amani wakatafuta haki mahakamani, Kuzika Mfu wao, hujuma gani hii aibu gani hii?
Alivyokufa Mawazo
Na sasa Utawala Huu wa awamu ya Tano,
1) CCM Kwa Unafiki Mkubwa bungeni kwa Maagizo ya Serikali, wakazuia Matangazo ya Mojakwa moja ya Bunge Kwa Lengo chafu, La Kuzuia a)Uonevu Bungeni dhidi ya Ukawa Usionekane b)Vitisho vya CCM na Zomea zomea na Kejeli za CCM dhidi ya Ukawa Visionekane 3)Michango na Umahiri wa wabunge wa Ukawa Usionekane.
Serikali Kuleta Polisi Bungeni,
2) Ukawa wakaletewa Polisi na Mbwa Kupigwa Bungeni, Wakakumbatia amani.
3) Wabunge maarufu wa Ukawa Pamoja na Zitto Kakwe wakafungiwa. Pamoja na Kukamatwa na Kufuunguliwa Mashitaka ya Hovyo.
4) Magufuli Kuwaagiza Polisi wawanyamazishe Wabunge wa Upinzani wasifanye Mikutano au hata Makongamano ya ndani (Kama hajawatuma Mbona hawazuii) Wakati yeye na Wanaccm wenzake wakiendeleza siasa zao katika kila walifanyalo
5) Kejeli za Rais dhidi ya Viongozi wa Ukawa mfano alivyohoji iwapo meya wa jiji anapenda ujambazi?
6) Kukamatwa ovyo kwa Viongozi wa Ukawa hasa Vijana kuwatia hofu.
7) Kuzuia Sherehe za Wavyuo wa Chadema kwa Mabomu, Ingawa Sherehe kama Hizo zilifanywa na Wanavuo wa CCM Na Kufanana Kwa Kila hali Kimazingira na Maudhui.
Hawa hawakukguswa
Hawa wakapigwa mabomu
8) Waliomtukana Mgombea matusi hata ya Kumkejeli Mungu Mwenyewe wakati wa Kampeni eg. Nape Mnauye wakapewa Uwaziri na Mh. Magufuli, lakini Wasio CCM hata facebook zao zinaingiliwa na akisema mtu kinyume na Mh Magufuli anashitakiwa, Yako wapi Mashitaka ya waliosema Lowassa Kajinyea. Nikisema hivyo Juu ya Rais Leo Nashitakiwa!
Mimi Nadhani, Ni wakati sasa Ukawa Kuwaonyesha CCM sasa Basi, Kwa sababu Uzalendo wenu, Kupenda kwenu Kuchagua amani CCM wananusa Kuwa Ni Udhaifu. Na zaidi sana Msipovumilia tena, Watanzania waliowengi watawaelewa, Dunia Itawaelewa. Mmeonewa sana, Mmehujumiwa sana, Mmedhalilishwa sana. Na Ukweli wanaofanya hivyo sio kwamba wanayonguvu ya Kuzima Nguvu za Umma walio nyuma yenu, Wanakesha na Kuomba Muendelee Kutishika. Maana Siku Mkionyesha sasa Basi, Hakika ndipo mtajua hawa ni Chui wa Karatasi. Na kwa Kuwa hamdai Jambo Kubwa, Hamdai Kupindua serikali, Bali Mnadai Uhuru wa haki zenu za Kikatiba, Watakuwa na Wazimu Kuendelea na Tabia hii ya Kihuni wakiamini kuwa wataweza Kuliongoza Taifa. Baada ya Kenyata Kuteswa Kufungwa na Kuteswa alisema Maneno haya, "It is by our action that they will know that we mean business"
Kituko, Kioja wanachokifanya CCM, Ni Mithili ya Bondia Hayawani anayejitangazia Umahiri, halafu kwa kujuana na Refa, wanamfunga Bondia Mpizani, Mikono na Miguu hata asiweze Kujigeuza, Halafu Filimbi inapigwa, Bondia hayawani huyu anamvamia Bondia aliyefungwa Mikono na Miguu, anampiga Kila mahali hata chini ya Mkanda, Na refa asiye na aibu baada ya Kipenga cha Mwisho anamnyanyua Hayawani huyu Mkono Kuwa Kashinda, Ndio Mazingira wanayojijengea CCM na Magufuli 2020. Hili likitokea Uwanjani kweli mawili watazamaji watatoka nje, na wale wakali wasiovumilia upuuzi watampiga mawe na chupa za maji na za soda. Na wote watakuwa wamefanya sawa. Kama hili halifai Katika Michezo Livumiliweje Katika Demokrasia na Uhuru wa nchi yetu.
Ninavyosema kuwe na action sisemi kuvuruga amani? Na Nipo Tayari Kujibu Mahakama yoyote. Ila Naona Kuwa Muda Umefika wa Kupuuza Amri zilizokinyume na Katiba na Sheria. Ifike wakati Serikali ya CCM wakikataza Mikutano kwa Kutumia Polisi Basi Ukawa wafanye Mikutano Kwa Nguvu. Na kama Polisi wakija Kuvuruga amani na Kuwapiga wananchi, Basi Wananchi wajihami dhidi ya Uhalifu huo. Itakuwa Unafiki sana CCM Iliyowasaidia ANC, na FRELIMO Kupambana na Uonevu na Ubeberu leo wanafanya Ubeberu ule ule na Kuzidi dhidi ya Raia wanzao. This Must end. Kwa Wenye Hekima, in a long run huu upuuzi utaathiri sio tu Ukawa, bali Utaleta hasara kubwa sana, Kabisa! Kwa Taifa zima ikiwepo na CCM kama chama. Tabia hizi za Kijinga zitaangamiza maendeleo ya Kiuchumi, Kijamii na Kisiasa, au hata Kutufikisha katika vita vya wenyewe kwa wenyewe.