Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,163
- 48,425
- Thread starter
-
- #21
CHADEMA kutokushika dola si ndiyo furaha kwenu? Nyie shikeni dola waacheni CHADEMA wafanye siasa bila ya kushika dola.Utashika vipi dola unasusia uchaguzi?
In politics there is no shortcut way .CHADEMA kutokushika dola si ndiyo furaha kwenu? Nyie shikeni dola waacheni CHADEMA wafanye siasa bila ya kushika dola.
Dola mnayo lakini mkisikia CHADEMA inatajwa mnapata kiwewe!!
Na tuna mwambia kilie magosiSie makafiri tunasema chei chei
Kawaida shetani anaiogopa nuru,yeye ni giza na giza ni yeye.Ukiangalia na kuchunguza Kwa makini hali ya mvurugiko wa kisiasa nchini kwetu, utagundua ilianza mara baada tu ya CHADEMA kumchagua Tundu Lissu kuwa Mwenyekiti wao Taifa.
Mpaka leo ingawa CHADEMA imezuiliwa kufanya siasa na kuendelea kushambuliwa kila Kona, lakini unaona kabisa kuwa CCM bado hawajiamini kama wapo salama CHADEMA ikiendelea kuwepo.
Kuna watu wanayapenda Maigizo ya wana CCM hata kama wanajua ni UONGO.
Hebu fikiria zama zile za mazingaombwe, mfanya mazingaombwe ambao mara nyingi walikuwa wanajiita "Profesa" au "Dokta" anaweka kiingilio ili kuingia kwenye hayo mazingaombwe.
Lakini anapofanya michezo yake huonyesha jinsi anavyoweza kugeuza karatasi liwe pesa.
Sasa kama ana uwezo wa kugeuza karatasi kuwa pesa kwa nini mlangoni aliweka kiingilio?
CCM Kila siku inajionesha kuwa ina uwezo wa kufanya kila kitu na kujisifu chama Chao ni kikubwa na imara Afrika nzima.
Kama hizo sifa wanazosema CCM kweli wanazo, inakuwaje wanaigopa CHADEMA chama kisicho na dola?
CCM inayojisifu kwa uimara wake inaweweseshwaje na CHADEMA isiyo na Wenyeviti wa vitongoji, vijiji na mitaa wengi kuliko wao?
CCM inayojinasibu kwa mbwembwe kuwa wenyewe ni chama cha kihistoria kinakuwaje kinatumia dola kupambana na chama kilichoanzishwa mwaka 1993?
Ipo wapi wakati tunachoona ni dola tu.CCM IPO HAPO MPAKA MWISHO WA ULIMWENGU KWAKUWA INAPIKA WATU SMART AND INTELLIGENT
Kwanza hiyo formula ya kupanga matokeo mwisho umefikia mo29, kwa sasa itabidi mshindane kihalali vinginevyo dunia itashuhudia updated version ya mo29. Na hii miaka mitano itabidi mteke watu sana, ila mwisho wenu umefika.CCM NI TROPHY CHASER NA SIO PROPAGANDA DOMINATOR.
MUDA HUU UPO UNA PLAY HER TUNES
MSIPOELEWA HILI SWALA MJIANDAE KUWA WASINDIKIZAJI KILA UCHAGUZI UKIFIKA.
Kama Mwigulu😂😂CCM IPO HAPO MPAKA MWISHO WA ULIMWENGU KWAKUWA INAPIKA WATU SMART AND INTELLIGENT
No soft game after MO29 don't expect another red penKwanza hiyo formula ya kupanga matokeo mwisho umefikia mo29, kwa sasa itabidi mshindane kihalali vinginevyo dunia itashuhudia updated version ya mo29. Na hii miaka mitano itabidi mteke watu sana, ila mwisho wenu umefika.
Wewe Cheka but after ten years utaona hao Mwigulu Jr wanakuwa viongozi wakubwa tu.Kama Mwigulu😂😂
Never ever, keep this post for reference.Wewe Cheka but after ten years utaona hao Mwigulu Jr wanakuwa viongozi wakubwa tu.
You will be perplexed. Tanzania won't be the same again.No soft game after MO29 don't expect another red pen
Why not ?Never ever, keep this post for reference.
No longer at easy.Why not ?
IS NOT A CHOICE BUT A RESPONSIBILITY FOR THE ADULT MINDS OF TODAY TO IMPART WISDOM AND KNOWLEGE TO THE YOUNG MINDS THAT WILL CONTROL TOMORROW TO IGNORE THIS RESPONSIBILITY IS TO THROW AWAY ANY OF DECENT FUTURE FOR ANY OF USNo longer at easy.
Who cares?IS NOT A CHOICE BUT A RESPONSIBILITY FOR THE ADULT MINDS OF TODAY TO IMPART WISDOM AND KNOWLEGE TO THE YOUNG MINDS THAT WILL CONTROL TOMORROW TO IGNORE THIS RESPONSIBILITY IS TO THROW AWAY ANY OF DECENT FUTURE FOR ANY OF US
Who cares?