KOMBAJR
JF-Expert Member
- Nov 15, 2011
- 5,827
- 1,276
Toka lini CCM ikawa chama chako?.
Acha kudanganya watu na kuwafanya wajinga. Unaokoteza vihabari kwenye mitandao na kuanza kuunga unga kutaka kuwaaminisha wenye akili za ki-BAVICHA BAVICHA kama unafahamu lolote ndani ya CCM.
Unataka kuwaaminisha watu hata kukutana kwa wabunge wa CCM kulikuwa na ajenda ya siri.
Hilo jimbo unalofikiria kugombea kupitia CHADEMA usitegemee kama utapitishwa kuwa mgombea ubunge achilia mbali kushinda ubunge.
Kwa stories za kuunga unga kazi hizi. Thubutu!!. Bora uendelee tu na makabrasha ya uanasheria wako wa mlimani.
mkuu kumbe mnajuana?tupe basi update na maazimio ya kikako cha mwenyekiti na wabunge mbona hatoi covarage za kutosha?