CCM inachukuaje wanachama wa CHADEMA?

CCM inachukuaje wanachama wa CHADEMA?

Anayetoka CCM kwenda CDM anaitwa oil chafu, anayetoka CDM kwenda CCM mnamwona lulu hata kama ni kadiwani au mwenyekiti wa mtaa. Uhayawani wa kiwango cha mwendokasi!
ataachaje kuwa lulu wakati ameongeza mtaji. we hujasoma habari ya kupotea kwa mwana kondoo mmoja kati ya kundi la kondoo 100? ama hukusikia habari ya mwana mpotevu?
 
ataachaje kuwa lulu wakati ameongeza mtaji. we hujasoma habari ya kupotea kwa mwana kondoo mmoja kati ya kundi la kondoo 100? ama hukusikia habari ya mwana mpotevu?
Mwanakondoo ni mwanakondoo. jee unaweza kumgeuza mwana mbuzi kuwa mwanakondoo?
 
Siasa za Tz ni za Kipuuzi sn


Yaani chama kikubwa kama CCM bado kinapoteza muda na pesa kununua madiwani karne hii?

Hii karne unahama peke yako. Wanachama/wafuasi wa chama ni waelewa sn...

Je CCM ina uhakika gani uchaguzi ukirudiwa itashinda?

JMP KAMATA WEZI
 
wakitoka CCM kwenda CHADEMA hao ccm huwaita ni Oil Chafu,

wakitoka CHADEMA kwenda CCM hupokelewa kwa shangwe na huitwa cream.
 
Inachukua wale waiochoshwa na ukabila na umangi Meza. Kifupi wsmechoshwa na uhayawani ulioko huko

Sent using Jamii Forums mobile app

Ina maana kiongozi mmoja akiamua kuhama chama kwa sababu yo yote ili, wananchi wote waliompigia kura nao wanahama?!

Huu utaratibi wa kuhonga viongozi kuhama vyama vyao ni siasa za maji taka.
 
Si mlisema chama makini kina intelijinsia ya hali ya juu?
Iweje viongozi wake Waanze kuhongwa?
Au njaa haina baunsa?
Kwahiyo hao jamaa zako hawana tofauti na wale wa ATC wazalendo?

Hakika nchi hii Hakuna upinzani wa dhati, ispokua kuna waganga njaa na wewe ukiwemo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenyekiti wao wa chama kasema wenye akili ndani ya CCM wameisha kwa hiyo ameanza kuwatafuta wenye akili upande wa upinzani. kwani hata hiyo kauli akina Lizaboni na wengineo hamjaisikia?
 
Back
Top Bottom