CCM inachukiwa kiasi hiki?

utaifa kwanza wewe ni kichaa kwanza umejibu karibu page nzima wewe mwenyewe huoni ni kama unazuia mjadala ovyo kabisa wewe ni elfu saba ti ndo zimekufanya mtumwa wa ukoo wa panya......msalimie nape.
 
mjomba , kila mtu anamheshimu sana mungu , kama ni hivyo haiwezekani watu haohao wamtumikie shetani !
 
..Haya kachukue kiroba chako, ufipa street!
 
mnaweza sana kuandika,, LAKINI HAMUUJUI UKWELI WENYEWE,AU MNAUJUA SEMA TU MMEAMUA KUJIFANYA HAMUUONI.. Amini NAWAAMBIENI CCM INAKUFA VIBAYA, KIFO CHA MAJI..nyi endeleeni kuropoka.ANGALIA WATU WAWILI TU MNATAKA KUJAZA SERVER KWA MANENO AMBAYO HATA NYINYI WENYEWE HAMJUI WHY MNAAMDIKA, MTAKUJA KUPONZWA NA IZO ELFU 7.
cc habari ya mujini,utaifakwanza
 
utaifa kwanza wewe ni kichaa kwanza umejibu karibu page nzima wewe mwenyewe huoni ni kama unazuia mjadala ovyo kabisa wewe ni elfu saba ti ndo zimekufanya mtumwa wa ukoo wa panya......msalimie nape.
[h=5]CHAMA CHA MAPINDUZI "Tupo Imara sana na tunasonga mbele,Watapambana kadri ya uwezo wao kufanya nchi isitawalike,CCM TUNASEMA HAWATASHINDA,NCHI ITATAWALIKA,Tumejipanga kuwatumikia Watanzania kwa Amani na Utulivu"[/h]

CHAMA CHA MAPINDUZI "Tupo Imara sana na tunasonga mbele,Watapambana kadri ya uwezo wao kufanya nchi isitawalike,CCM TUNASEMA HAWATASHINDA,NCHI ITATAWALIKA,Tumejipanga kuwatumikia Watanzania kwa Amani na Utulivu"

huyu kenge nikimuona nasikia kichefu chefu yani ukiangalia ni kama mashine ya kutolea roho za watu wasio na hatia, arusha wameua mpaka watoto wadogo...Mungu ataiacha hii dhambi ipite hivhivi? hapana kila mtu atalipa kwa aliyo fanya, unaweza kudhani uko salama maana mahakama iko chini yako lakini Mungu hayuko chni yako, na wakati umekaribia damu uliyo imwaga itakutokea puani, sipendi kabisda watu wenye tamaa ya uongozi mpaka kumwaga damu, laana na iwe juu yao!
 
Ushahidi mwingine. SIKU HIZI HATA WANAFUNZI WA SHULE ZA MSINGI HAWAIMBI TENA ZILE NYIMBO ZENYE KUTAJA CHAMA cha magamba na wauza unga,, UKIENDA MASHULENI WANAFUNZI UKIWAAMBIA PEOPLEEES,!!! Angalia response yake!!!!
 
tubishaneni tuwezavyo lakini hatua ya kufika kutoa roho ya mtu ili kuendelea kutawala huo ni ushetani uliyo pitiliza
 
Eti mavazi hivi mibavicha ikoje kweli vazi la chama ndiyo hoja ya kutuletea kwenye jukwaa.
 
tehe!! Mashine ya kutolea roho za watu!!! Nape sijui itakua ni mashine ya kutolea nini?
 
Ushahidi mwingine. SIKU HIZI HATA WANAFUNZI WA SHULE ZA MSINGI HAWAIMBI TENA ZILE NYIMBO ZENYE KUTAJA CHAMA cha magamba na wauza unga,, UKIENDA MASHULENI WANAFUNZI UKIWAAMBIA PEOPLEEES,!!! Angalia response yake!!!!
Kweli huna akili mkuu siasa siku hizi unafanya shuleni viroba na bangi vimeharibu vijana wengi wa bavicha.
 
Mkosa akili mmoja akasema mkutano wa mwisho wa chadema watu walijaa sana ilikuja kukitataa chama, hao ndiyo vichwa wa chama, Mungu wasamehe hawa majuha kwasababu hawajui watendalo
 
Eti mavazi hivi mibavicha ikoje kweli vazi la chama ndiyo hoja ya kutuletea kwenye jukwaa.

jiulize kwa nini zamani walikua wanavaa lakini sikuizi WANAKATAA,, ALAFU YALE MAVAZI NYINYI MAGAMBA PAMOJA NA KUGAWA BUREEE LAKINI BADO WATU HAWACHUKUI ,WANAENDA KUNUNUA MAGWANDA YA CDM hujaelewa tu maana yake mjomba..
 
Mkuu huyo ndiyo kiboko yako kama umechukia sana mmwagie sumu mkuu.
 
Sijawahi kuwaona wamejaa nikumbushe walivaa lini.
 
Mkuu huyo ndiyo kiboko yako kama umechukia sana mmwagie sumu mkuu.
hapana sita mmwagia sumu wala nini, lakini kushiriki kwa namna yoyote kutoa roho ya mtu si sawa, atamuhukumu aliye mleta duniani, mimi ni kusikitika tu na kuomba kwa Mungu, tuwe mashabiki lakini kuto roho ya mtu hapana, wazia kama watoto, ndugu au wazazi wako unakuta wame kufa kwasababu wamekwenda kewnye mkutano wa chama usicho kipenda, hapana tusipoteze ubinadamu wetu kwasababu ya ujinga wa uvyama ambavyo tusitake tutake vitakufa tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…