CCM inaagwa kimtindo?

Candid Scope

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2010
Posts
11,897
Reaction score
6,933


Kuna kazi nzito ya kuelimisha vijana kutotumika kwa utaratibu huu kwa manufaa ya vizito wanaolinda na kutetea nafasi zao.
 
Njaa mwanaharamu! baada ya hapo wameandaliwa wali na nyama za Nyumbu pamoja na posho za shilingi 10000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…