CCM ina Wenyewe!

CCM ina Wenyewe!

MAHANJU

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2014
Posts
5,255
Reaction score
8,027
WanaJF mtakubaliana mimi kwamba ni kweli kabisa hichi chama kina wenyewe!
Mimi nilifikiri ni Chama cha wananchi kumbe kina mwenyewe.Maana wangesikiliza maoni ya wananchi kumchagua mtu anayependwa na wao hapo ingekua sawa.
Kumbe mtu unaweza kujitahidi kwa nguvu zako zote kutafuta uungwaji mkono na wananchi ili uwatumikie lakini mwisho wa siku Wenye Chama watakuambia "NO".

Kwakweli CCM ina mwenyewe!
 
Mlivyokuwa mnawaga mapesa mlidhani zitawalewesha watu? Hizo zama zilishapitwa na wakati...sasa watu wanapiga mpunga afu unashushiwa nyundo
 
Ile hotuba wanawekaga TBC ya mchonga kumbe ndivyo sivyo
 
Mlivyokuwa mnawaga mapesa mlidhani zitawalewesha watu? Hizo zama zilishapitwa na wakati...sasa watu wanapiga mpunga afu unashushiwa nyundo

Na hii spidi ni mpaka kwenye uchaguzi wa Oktoba! Hivyo ni vyema kutokughilibu watu kwa pesa ukadhani ni rahisi kununua kura zao!
 
Maoni ya wananchi kumchagua mtu anayependwa na watu uliyakusanya lini? Acha kujiabiisha kwa kudhani watz wote wana level ya chini hivyo.

Ccm ina wenyewe ndiyo lakini Tanzania pia ina wenyewe na mwenye Tanzania siyo ccm!. Period!
 
aseeeee....mtoa huuu uzi yupo sahihi....CCM matapeli...mafisi...
 
Mhhh bora mm nisiye na chama nawala siitaji presha poleni sana ndungu zangu mlio jiwekea matumaini
 
Kwa hasira ya kukatisha safari yangu ya matumaini sasa nachoma likadi langu la CCM na kuanzia Diwani, Mbunge na Rais nawapa UKAWA jamani wapenzi wenzangu wa Lowasa naombeni mniunge mkono tuishikishe Adabu Ccm kwa faulo waliyomchezea Mzee wetu.
 
Usiwe short sighted ki hivyo. Wagombea walikuwa 38 wamekatwa 33, siyo Lowasa peke yake, tena nafuu Lowasa alikuwa na makosa manne, kuna wengine walikuwa hawana kosa hata moja. Membe ana makosa ya kuanza kampeni kabla ya muda, Januari hali kadhalika, Magufuli matumizi mabaya ya madaraka ambayo Daniel Yona na waziri wa fedha awamu ya tatu Basil Mramba wamefungwa miaka 3. Wapo watia nia ambao hawakuwa hata na tuhuma, lakini wamekatwa. Wote ni watanzania kama Lowasa, kwa nini unaona yeye Lowasa ndiye wa muhimu sana? Ana nini cha mno zaidi ya Kayanza Peter Pinda, Prof. Mark Mwandosya Mako Nyerere, JG Agustino Ramadhani?
Mimi binafsi naona kama wamekosea kuwaacha hawa niliyowataja hapo juu ila walikuwa halali kumkata Lowasa kutokana na rekodi yake ya utendaji huko nyuma, uwongo na ufisadi. Walio wateua ndiyo walipaswa kukatwa majina yao. AGENDA YA JINSIA IMEPUNGUNZA KUINGIZA MAJINA YA WATU MAKINI.
Kwa hasira ya kukatisha safari yangu ya matumaini sasa nachoma likadi langu la CCM na kuanzia Diwani, Mbunge na Rais nawapa UKAWA jamani wapenzi wenzangu wa Lowasa naombeni mniunge mkono tuishikishe Adabu Ccm kwa faulo waliyomchezea Mzee wetu.
 
Back
Top Bottom