Kertel JF-Expert Member Joined May 11, 2012 Posts 5,736 Reaction score 5,683 Sep 11, 2014 #2 hii kitu ni maeneo ya mkoni lindi
B Bulesi Platinum Member Joined May 14, 2008 Posts 14,739 Reaction score 14,941 Sep 11, 2014 #4 Na wenyewe ndio hao!! Mwenyekiti wao anawazugazuga halafu huyooo anakwea pipa anakwenda kula bata ughaibuni!!
Na wenyewe ndio hao!! Mwenyekiti wao anawazugazuga halafu huyooo anakwea pipa anakwenda kula bata ughaibuni!!
Marire JF-Expert Member Joined May 1, 2012 Posts 12,333 Reaction score 5,315 Sep 11, 2014 #5 jimbo la riz moko linaongoza kwa vijumba mbavu za mbwa,kisa tu ubwabwa siku ya kampeni
Nyamgluu JF-Expert Member Joined Mar 10, 2006 Posts 3,160 Reaction score 1,729 Sep 11, 2014 #6 Bila elimu hatutoki. Nafikiri ndio maana CCM imeweka sera wanaofeli mashuleni ndio waje kuwa waalimu ili kuendeleza Taifa la wajinga na wao waendelee kula na vizazi vyao milele.
Bila elimu hatutoki. Nafikiri ndio maana CCM imeweka sera wanaofeli mashuleni ndio waje kuwa waalimu ili kuendeleza Taifa la wajinga na wao waendelee kula na vizazi vyao milele.