).1.Alphaxard Kangi Lugora (Mwibara),
2.Deo Filikunjombe (Ludewa),
3.Ally Keissy Mohamed (Nkasi Kaskazini)
4.Luhaga Mpina (Kisesa
Ukifuatilia mjadala wa bunge unaoendelea utagundua CCM ina wabunge wanne tu ambao wanawatendea haki wananchi waliowachagua na watanzania kwa ujumla.
Wabunge hao ni Alphaxard Kangi Lugora (Mwibara), Deo Filikunjombe (Ludewa), Ally Keissy Mohamed (Nkasi Kaskazini) na Luhaga Mpina (Kisesa). Wengine waliosalia ni magalasha tu wa kujaza viti bungeni kupiga makofi meza zetu hata kwa mambo ya kijinga kabisa.
Ndio maana utawasikia wanasema wanaunga mkono asilimia mia kwa mia kitu ambacho hakuna wizara inayopata mia kwa mia katika utekelezaji.
Hawa wanne nawatia moyo wasiogope kukolimbwa kwani vita yao ni ya wananchi si ya CCM.
mkuu kwa heshima na taadhima umemsahau acting commander Ester Bulaya, Wengine waliobaki ni mawaziri watarajiwa, wao kazi yao ni moja tu "kuisemea serikali na si wananchi". Ccm ni janga kwa taifa letu!Ukifuatilia mjadala wa bunge unaoendelea utagundua CCM ina wabunge wanne tu ambao wanawatendea haki wananchi waliowachagua na watanzania kwa ujumla.
Wabunge hao ni Alphaxard Kangi Lugora (Mwibara), Deo Filikunjombe (Ludewa), Ally Keissy Mohamed (Nkasi Kaskazini) na Luhaga Mpina (Kisesa). Wengine waliosalia ni magalasha tu wa kujaza viti bungeni kupiga makofi meza zetu hata kwa mambo ya kijinga kabisa.
Ndio maana utawasikia wanasema wanaunga mkono asilimia mia kwa mia kitu ambacho hakuna wizara inayopata mia kwa mia katika utekelezaji.
Hawa wanne nawatia moyo wasiogope kukolimbwa kwani vita yao ni ya wananchi si ya CCM.
Nakubalianana wewe kabisa salute....ila ongezawapo sita mwingine ni Shekirango na Serukamba. Niliowaongeza nakwambia utaniamini tuu time is ur answer...achana na wapiga kelele bila nia ya dhati
na wabunge mabogasi:
1.stela manyanya (masalo)
2. mwigulu nchemba (mkumbo)
3. hamisi kigwangala
4. juma nkamia
Hawa ni majembe ya ukweli wengine nasikia wao ni kusinzia nakuachia ushunzii.