Ushetani wa CCM wa Neno kapita bila kupingwa ndiyo Sumu ya demokrasia kwa sasaAlaaniwe mwasisi wa uharamia wa kuwapoka wapiga kura haki yao ya Kikatiba ya kuchagua viongozi wanaowataka,yamkute mabaya hata tarehe 28/10/2020 asifike.
TBCCCM inaendeshwa kwa kodi za watanzania wote lakini cha ajabu sasa imekuwa tv binafsi ya CCMTukio lile ni Tangazo mujarabu kabisa wa kujulisha umma kuwa TBC ni CCM!!
Pale chadema ilichukuwa point 100%
Wajinga wa Lumumba ndio wameweka kwani eneo ni la CCM au ni jeshi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nchi kuongozwa na viongozi watarajiwa, wanaokaidi kufuata Sheria, Kanuni na Taratibu za uchaguzi km kujua kujaza fomu na/au kuwasilisha malalamiko yao kwa utaratibu uliowekwa, ni kuiweka nchi katika janga la ombwe la uongozi.Ushetani wa CCM wa Neno kapita bila kupingwa ndiyo Sumu ya demokrasia kwa sasa
Kadiri siku zinavyo kwenda wanazidi kukosa marifa CCM inazalisha Wajinga wengi sana wenye kiwango duni cha kufikia!Utadhani wameingiwa na maruhani akili zikawaruka