CCM ina gundu gani?

Na bado hadi meko afie jukwani
 
Sina hakika kama umepitia kile ulichoandika hapa kinalingana na kusudio lililokuwa kichwani mwako. Kuanzia haya ya kwanza hadi ya mwisho msomaji anajiuliza unashutumu, unalaumu au unatoa angalizo kwa waandaji wa ufunguzi wa kampeni za CCM.

Kwa maelezo yaliyomo kwenye bandiko lako ni dhahiri wewe ulikuwa mmoja wa walioandaa shughuli hiyo lakini imefanyika tofauti. Kwamba uzinduzi ulifunikwa na mambo yasiyo ya msingi.

Kwa kuwa mimi nilifuatilia shughuli yote, naungana na yaliyohabarishwa kwenye magazeti ya leo kama inavyoonekana kwenye viambatanisho hapa chini
 
Hivyo vipau mbele kila mwaka kupitia Irani zenu mnakuwa nazo kwa zaidi ya miaka 60 lkn matokeo yake ni kutuzidishia umasikini wa kutupwa
 
Hivyo vipau mbele kila mwaka kupitia Irani zenu mnakuwa nazo kwa zaidi ya miaka 60 lkn matokeo yake ni kutuzidishia umasikini wa kutupwa
Siwezi kukujibu kwa kuwa hujakanusha kwa takwimu bali kwa hisia zilizojaa uwoga wa kuogopa ukweli. Mwenye macho haambiwi tazama wala mwenye masikio asikie.

CHADEMA, chama ambacho viongozi wake, pamoja na kupokea mabilioni ya ruzuku kuliko vyama vingine vya upinzani, hawana uhalali wa kutetewa wala kutoa lawama kwa chama tawala, wakati hata ofisi moja hawa kujenga. Viongozi hao hawastahili kamwe kuaminiwa kuongoza nchi hii.

Viongozi wa CHADEMA wanaamini kuwa kauli mbiu yao ya haki na uhuru, na ahadi lukuki zenye harufu ya kufitinisha Serikali na wananchi, ni mtaji wa kushawishi wapiga kura. Watambue kuwa WaTz wa jana siyo wa leo wa kulishwa matango pori ya kisiasa. Mkono mtupu haulambwi.

Ili viongozi wa CHADEMA waweze kuweka ushindani wenye tija, yabidi wabadili mtazamo wao kuhusu tafsiri ya maendeleo. Nadharia yao ya maendeleo ya watu, hakika haieleweki hata kwa viongozi wenyewe. Km leo John Mrema, mgombea ubunge wa Segerea, kwenye kampeni huko, amesikika akiahidi uboreshaji wa miuondo mbinu na huduma za jamii, ambavyo kwa tafsiri ya CHADEMA ni maendeleo ya vitu. Na bahati mbaya anatofautiana na M/Kiti wa chama na mgombea Urais ambao kipaumbele ni Katiba itakayotoa "haki bila wajibu" na "uhuru usio na mipaka" kisichowezekana hata kwa wanyama porini.

Wasikilizeni.

Wacha ujinga wewe, cdm ipo kuwatetea na kuwafanya Watanzania waishi kulingana na mahitaji yao, wawe na sauti kwenye nchi yao.

Wapate mahitaji yao kulingana na uhitaji wao, wapate huduma za jamii bila usumbufu kama mnavyo fanya sasa.

Wapate elimu bora, Afya bora, barabara safi, wakulima wauze mazao yao kadri ya mahitaji yao na walipwe kwa wakati, wananchi wapate ulinzi wa mali zao na usalama wao pia.

Kuheshimu katiba ambayo ndiyo msingi mkuu kwenye utawala wa nchi yeyote hapa duniani, asitokee mtu ajawa juu ya sheria kama mnavyo fanya nyinyi sasa.
 
Uliyoyaanisha ndiyo msingi wa utu na kiongozi wa kisiasa lazima ayaishi kwa kauli na vitendo, vinginevyo ni ulaghai na unafiki, mwanzo mwisho.
 
Uliyoyaanisha ndiyo msingi wa utu na kiongozi wa kisiasa lazima ayaishi kwa kauli na vitendo, vinginevyo ni ulaghai na unafiki, mwanzo mwisho.
Utawala wenu hayo yote kwenu ni kitendawili, mnachojali ni 10% tu.

Elimu ni bora elimu tu maana mnajua kuwa mkiwapatia elimu bora wananchi wataelimika na kutambua haki zake hivyo kudai haki zake na kuktataa kutumikishwa kama mtumwa nchini mwake.
 
Mkuu Mmawia, ndani ya moyo wako unajua kabisa madai yako hayo ni ya uwongo ila yakufurahisha jukwaa hili. "Una macho" na "una masikio", huhitaji msaada.
 
Mkuu Mmawia, ndani ya moyo wako unajua kabisa madai yako hayo ni ya uwongo ila yakufurahisha jukwaa hili. "Una macho" na "una masikio", huhitaji msaada.
Huna haki ya kunilisha unacho kiamini. Mimi naamini hivyo na watanzania wengi wanajua hilo maana pembe la ng'ombe halifichiki.

Hakuna mlicho kifanya kwenye hayo niliyo yasema hapo maana mwenye macho yake anaona.
 
Sawa kabisa.
 
Hata mimi naamini hujaelewa nilichoandika....nimesema matukio yasiyotegemewa yamefunika muktadha mkuu...yaani hayo matukio yametrend mitandaoni zaidi kuliko jambo husika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…