CCM imwite na imuonye Nicodemas Henry Maganga mbunge wa Mbongwe

RUBBISH!
Aonywe kwa lipi?
Ametoa maoni yake kama mbunge?
Mbona hamumuonyi Mama yenu aache kututia hasara ya kutembea na AIRBUS ya abiria mia mbili ikiwa tupu.?
Huyu mnamskama kisa alimsifia #JPM?

nyinyi ni S**ne kabisa!
Nafikiri umeona maono yangu yalivyotimia mbali na kuita andiko langu RUBBISH. Kasome NIPASHE la leo
 
Mbunge kusema pesa hazitoshi sio dhambi hata kidogo. Anaongelea uhalisia alionao kwao Mbogwe. Pesa kwa kuzitazama kwa mwenzako zinaweza kuonekana ni nyingi, ukishaziweka mkononi ndio unauona uchache wake, zinapoanza kutumika ndio unaona kuwa ni chache.

Majukumu yake kama mbunge ndio yamekuwa kigezo cha yeye kusema kuwa ni chache, sisi tunatoa maoni kwa kuziangalia kama mtu anayezitamani awe nazo hizo pesa.
 
Ili tumuelewe aweke mishahara yao, posho na stahiki zingine ndio tujadili.

Dalili ya kuwa wanatupiga ni wakati wa kugombea, mtu anaacha ukuu wa mkoa, biashara, proffesional kama udaktari, uhandisi anataka awe mbunge , Why? Kuna nini?
Hawa wakilipwa 1.5mil na hakuna posho wala nini, tutapata Wabunge wenye nia ya kuwakilisha wananchi.
 
Well said
 
Itaita wangapi, Anachosema ndio wote waliopo mle wapo hivyo, wabinafsi, wananuka damu mikononi, wizi wa kura, , kuropoka, hawajui wapo skule kuisimamia serikali badala yake wanaomba serikali iwasimamie, wanapongeza tu badala ya kushauri na kukosoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…