CCM imwite na imuonye Nicodemas Henry Maganga mbunge wa Mbongwe

RUBBISH!
Aonywe kwa lipi?
Ametoa maoni yake kama mbunge?
Mbona hamumuonyi Mama yenu aache kututia hasara ya kutembea na AIRBUS ya abiria mia mbili ikiwa tupu.?
Huyu mnamskama kisa alimsifia #JPM?

nyinyi ni S**ne kabisa!
Nafikiri umeona maono yangu yalivyotimia mbali na kuita andiko langu RUBBISH. Kasome NIPASHE la leo
 
Mbunge kusema pesa hazitoshi sio dhambi hata kidogo. Anaongelea uhalisia alionao kwao Mbogwe. Pesa kwa kuzitazama kwa mwenzako zinaweza kuonekana ni nyingi, ukishaziweka mkononi ndio unauona uchache wake, zinapoanza kutumika ndio unaona kuwa ni chache.

Majukumu yake kama mbunge ndio yamekuwa kigezo cha yeye kusema kuwa ni chache, sisi tunatoa maoni kwa kuziangalia kama mtu anayezitamani awe nazo hizo pesa.
 
Ili tumuelewe aweke mishahara yao, posho na stahiki zingine ndio tujadili.

Dalili ya kuwa wanatupiga ni wakati wa kugombea, mtu anaacha ukuu wa mkoa, biashara, proffesional kama udaktari, uhandisi anataka awe mbunge , Why? Kuna nini?
Hawa wakilipwa 1.5mil na hakuna posho wala nini, tutapata Wabunge wenye nia ya kuwakilisha wananchi.
 
Ili tumuelewe aweke mishahara yao, posho na stahiki zingine ndio tujadili.

Dalili ya kuwa wanatupiga ni wakati wa kugombea, mtu anaacha ukuu wa mkoa, biashara, proffesional kama udaktari, uhandisi anataka awe mbunge , Why? Kuna nini?
Hawa wakilipwa 1.5mil na hakuna posho wala nini, tutapata Wabunge wenye nia ya kuwakilisha wananchi.
Well said
 
Nimesikitishwa sana na hotuba na mchango wa mbunge wa Mbongwe bwana Nicodemas Henry Maganga wakati akichangia leo bungeni.

Sidhani kama amefanya utafiti wa kutosha kuhusu mchango wake. Kawaaudhi Watanzania wengi hasahasa watumishi wa umma ambao wana miaka karibia sita bila nyongeza ya mishahara yao. Lakini pia sidhani kama hii hoja inaisaidia sana CCM na umma wa Tanzania.

Lakini kwanini hazungimzia sana maslahi ya wapiga kura wake ambao wengi no wakulima na wafugaji.

CCM sijui waliwezaje kumpa kijiti miongoni wa wengi walionyesha nia ya kulitaka jimbo hili.

Kuna hutuba zingine huwa zinaamsha hasira kali dhidi ya chama kinachotawala ikizingatiwa kuwa kuna watu wana hali ngumu mtaani.
Kuna watu hata laki mbili kwa mwezi hawapati lakini yeye hata hizo tunazoana nyingi sana tulio wengi yeye hajatosheka.

Fedha haiwezi kutosha siku zote. Kuna watumishi wa umma wanaishi chini ya laki tatu na wana familia lakini bado wanatoa huduma na hawana posho wala nini. Mtumishi kama mwalimu hizo posho zenu hajawahi sikia katika utumishi wake. Achilia mbali hizo posho zenu kubwa lakini hata posho ya elf ishirini hajawahi iona.

Kama ni mwanachama wa UVCCM basi aitwe kwenye wing hiyo na akanywe japo ana haki ya kutoa mawazo yake lakini kuna mawazo mengine hayafai kusikika kwa watu wenye hasira zao
Itaita wangapi, Anachosema ndio wote waliopo mle wapo hivyo, wabinafsi, wananuka damu mikononi, wizi wa kura, , kuropoka, hawajui wapo skule kuisimamia serikali badala yake wanaomba serikali iwasimamie, wanapongeza tu badala ya kushauri na kukosoa.
 
Back
Top Bottom