Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 18,305
- 33,924
Tangu zama za "Rama Mla watu" DK.Shika" na viongozi wa CHADEMA wanaotoka donodono na kujiunga CCM, utagundua CCM imewafanya watanzania kama mateja.
Kila dozi inapopungua na watanzania wakikaribia kuzinduka wanadungwa dozi nyingine, Leo mambo ya Kishika Uchumba, Korosho, 1.5 Trilioni, na mengineyo yamesahaulika watu wako Bize na Lowassa kurudi CCM.
Kila dozi ikipungua hupigwa nyingine stimu za watanzania zisikate. Ni "Sober House" gani itatusaidia na je "Methadone" yetu kama taifa itatoka wapi?